Invisible
JF Admin
- Feb 26, 2006
- 16,286
- 8,380
Kuna taarifa zinatinga hapa kuwa Mbunge wa Busanda (CCM) ameaga dunia muda mchache uliopita akiwa India alikopelekwa kwa matibabu.
Awali alilazwa Hospitali ya Muhimbili (Dar es Salaam) ambapo alikuwa anasumbuliwa na kwikwi isiyokatika (isha) na mwili ulikuwa na magamba kitu kilichodaiwa ni 'aleji' ya dawa.
RIP Rwilomba
Awali alilazwa Hospitali ya Muhimbili (Dar es Salaam) ambapo alikuwa anasumbuliwa na kwikwi isiyokatika (isha) na mwili ulikuwa na magamba kitu kilichodaiwa ni 'aleji' ya dawa.
RIP Rwilomba
Last edited by a moderator: