Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu amlaze mahala pema
Kuna taarifa zinatinga hapa kuwa Mbunge wa Busanda (CCM) ameaga dunia muda mchache uliopita akiwa India alikopelekwa kwa matibabu.
Awali alilazwa Hospitali ya Muhimbili (Dar es Salaam) ambapo alikuwa anasumbuliwa na kwikwi isiyokatika (isha) na mwili ulikuwa na magamba kitu kilichodaiwa ni 'aleji' ya dawa.
RIP Rwilomba
![]()
Alikuwa miongoni mwa wabunge wachache wanaopendwa na wapiga kura wao mkoani Mwanza, Nenda Kabuzi, tangulia...........