Mhe. Kabuzi Rwilomba is no more!

Mhe. Kabuzi Rwilomba is no more!

Ameipiga vita iliyo nzuri, mwendo ameumaliza, sasa anapumzika, jina lako ee yesu ndili jina kubwa kuliko yote, umweke mahali palipo pema ee mfalme wa wafalme, bwana wa mabwana
 
poleni wafiwa wote, Busanda poleni sana amewatoka mtetezi wenu wa maendeleo na taifa kwa ujumla
 
Mungu ailaze roho ya Mh. Kabuzi Rwilomba mahala pema peponi. Amen.
 
RIP Rwilomba na pole nyingi kwa ndugu na marafiki.
 
katika posti zote naona watu leo ni waungwana .Kuna madongo madogo mado kama vile kwikwi iliyomuua mwakangale na vitu kama hivyo.Kesho sasa watu fasta kwa mzee watume ya uchaguzi watu wajue tarehe.Kufa kufaana.
 
Pole kwa wale wote ambao wamefiwa au wanafiwa na ndugu jamaa au marafikizao popote walipo.
Hakuna tena uchaguzi tutaunganisha na uchaguzi mkuu. Idumu tume ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom