Mhe. Kabuzi Rwilomba is no more!

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Kuna taarifa zinatinga hapa kuwa Mbunge wa Busanda (CCM) ameaga dunia muda mchache uliopita akiwa India alikopelekwa kwa matibabu.

Awali alilazwa Hospitali ya Muhimbili (Dar es Salaam) ambapo alikuwa anasumbuliwa na kwikwi isiyokatika (isha) na mwili ulikuwa na magamba kitu kilichodaiwa ni 'aleji' ya dawa.

RIP Rwilomba
 
Last edited by a moderator:
Kuna taarifa zinatinga hapa kuwa Mbunge wa Busanda (CCM) ameaga dunia muda mchache uliopita akiwa India alikopelekwa kwa matibabu.


Ooh my God,

Aisee,

Invisible nimepata Habari hizi kwa mshtuko mkubwa sana kwa kuwa Mhe. Kabuzi nimefahamu kw amuda mrefu sasa.

Mungu ailaze Roho ya marehemu peponi ,amin.

MUngu awape Faraja familia ya Kabuzi.. Invisible naomba uniPM na unipe source za info.

Ina Lilah wa ina ilaihi rajeeon,

 
Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema Peponi.Faustine alikuwa Mtu mcheshi na mpenda watu.Taifa limempoteza mmoja wa viongozi wake Mahili.

Pole ziende kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki na watu wote wa Geita na Busanda.
 
Dah Poleni sana wafiwa na Mungu ailaze pema roho ya merehemu
 
Buriani Mheshimiwa ,Kufa kufaana, Haya tena kinyanganyiro kingine hicho ................. syaaaa kamata.......
 
"hakika hiyo ni njia, kila mmoja wetu atapita, muda na siku ndio hatujui". Pole kwa wafiwa.
 
RIP mkuu.Jina la Bwana lihimidiwe.Alikua amelazwa hospitali gani huku India? Appolo ama?
 
kwa hakika tumetoka kwa mavumbi tutarudi kwa mavumbi.mollah awape subira wafiwa na wananchi wa jimbo la busanda geita kwa kumpoteza mwakilishi wao.
 
Pole sana wafiwa wote. Mungu alimpenda zaidi yetu. Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi. Amen
 
Hiyo kwikwi ni kama ile ya marehemu Rehema Mwakangale? Ugonjwa unasumbua huu! Buriani mheshimiwa, Mungu akuweke pema.
 
Mungu ampe heri mbele ya haki, pole kwa Wtz wote,We've lost a man of people. mbele yake , nyuma yetu. Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…