Mhe. Kabuzi Rwilomba is no more!

Alikuwa miongoni mwa wabunge wachache wanaopendwa na wapiga kura wao mkoani Mwanza, Nenda Kabuzi, tangulia...........
 
Raha ya Milele umpe ee bwana, na Mwanga wa milele umuangazie, Apumzike kwa Amani. Amina
 

RIP Rwilomba
 
Alikuwa miongoni mwa wabunge wachache wanaopendwa na wapiga kura wao mkoani Mwanza, Nenda Kabuzi, tangulia...........

Hakika dunia ni mapito!

R.I.P Mh.....
 
jamani.mungu ailaze roho ake mahali pema popeni.na awatie wanae na wakeze nguvu hasa katika kipindi hiki kigumu cha majozi
 
poleni sana ndugu jamaa na marafiki,ila chonde wana si hasa wapeni ndugu wa marehemu nafasi wamzike ndugu yao ndo muanze mambo yenu,maana tunawajua kwa kuteka misiba kama hiyo! hamjambo.
 
Napenda kuwapa pole ndugu,marafiki na wananchi wote wa jimbo la Busanda, kwa kuondekewa na Mbunge wao.Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…