Ameipiga vita iliyo nzuri, mwendo ameumaliza, sasa anapumzika, jina lako ee yesu ndili jina kubwa kuliko yote, umweke mahali palipo pema ee mfalme wa wafalme, bwana wa mabwana
katika posti zote naona watu leo ni waungwana .Kuna madongo madogo mado kama vile kwikwi iliyomuua mwakangale na vitu kama hivyo.Kesho sasa watu fasta kwa mzee watume ya uchaguzi watu wajue tarehe.Kufa kufaana.

Pole kwa wale wote ambao wamefiwa au wanafiwa na ndugu jamaa au marafikizao popote walipo.
Hakuna tena uchaguzi tutaunganisha na uchaguzi mkuu. Idumu tume ya uchaguzi.