Aje tu alimalize ,akibaki huko ni kuvundika matatizoWasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.
Mlio karibu na Mh Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.
Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama
Pambavu sana..mtego wa kuwekea nchi huru hii unaanzia wapi Jomba. Nchi gani hiyo ipo juu ya Sheria zetu za ndani Jomba. .Hivi wewe na mke wako ndani kuna mtu wa nje anaweza kuja kuwawekea sheria na taratibu...Jomba angaliaNamwomba sana Jpm asidanganywe na wapambe, ujio Wa lissu umewekwa mtego mkubwa sana kimataifa
Eti somebody Amsterdam [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Anakuja na wakili wake mbobevu kutoka marekani, somebody Amsterdam kama sikosei so usiwe na wasi wasi.
Anakuja na wakili wake mbobevu kutoka marekani, somebody Amsterdam kama sikosei so usiwe na wasi wasi.
Ulimbukeni mwingine! Unaanzaje kumfananisha TL na Mandera! Hebu tumieni viakuli vidogo mlivyonavyo kusoma historia vizuri!Hata Makaburu hawakujua athari za kumfunga Mandela mpaka yalipotimia.
Similarly, hata Farao hakujua gharama halisi ya kupambana na Musa until it was too late.
Halikadhalika,Wayahudi hakuamini kuwa Yesu hakuwa mwanadamu wa kawaida mpaka giza lilipotanda mchana kweupe baada ya yeye kufa msalabani kabila ya kuja kufufuka siku ya tatu.
Hivyo, kwa kuzingatia historia hii na maandiko haya, basi hata nyingi yawapasa kuyatenda myatendayo.
Sasa kama ana kesi ya msingi ya kujibu Mahakamani, kwa nini asikamatwe? Na kwa kipindi chote hicho alichokuwa huko Ubeberuni ameonyesha kiburi dhidi Mahakama, mpaka Wadhamini wake walikuwa kwenye wakati mgumu.Wasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.
Mlio karibu na Mh Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.
Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama
Wakifika huko wataambiwa tunataka kuzungumza na mkuu mwenyewe na sio wawakilishi wake! Sasa sijui atasafiri kwa meli?Lissu waachane nae kama kweli wamekomaa kisiasa.Ni gharama kwa serikali ya Magufuli kuingia mgogoro na Lissu ,huku tukijua wazungu watatuadhibu bila huruma.
Lakini kuna vigogo lobbyist serikalini wapo standby kusafiri London, Washington, Hague,Stockholm, Oslo,Berlin, Paris,Pretoria, Addis Ababa,kwa pesa zetu walipa kodi watakao kwenda kutuliza hasira za wafadhili na wadau wa haki za binadamu.
Mchezo huu hauhitaji hasira,achana na Lissu,piga kazi.
Sheria lazima itachukua mkondo wake. Bila shaka atakuja na yule dereva wake ili kuwezesha kukamilisha ushahidi.Kosa
Kosa wanasema amekiuka masharti ya dhamana
Subira the master's slave!Kwa nini una negativities sana?Unaongozwa na hofu kuliko akili.Wasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.
Mlio karibu na Mh Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.
Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama
Yoye haya TL anayajua, kwamba akifika tu atakamatwa. Lakini kwa kufanya hivyo serikali itakuwa imeingia kwenye mtego mbaya sana.Sasa tokea lini Lissu akaogopa kukamatwa, kama wanaweza waje tu viazi hao..
Hiyo Ni mahakama gani hakuna popote wamesema aliruka dhamana
GOOD POINTHata Makaburu hawakujua athari za kumfunga Mandela mpaka yalipotimia.
Similarly, hata Farao hakujua gharama halisi ya kupambana na Musa until it was too late.
Halikadhalika,Wayahudi hakuamini kuwa Yesu hakuwa mwanadamu wa kawaida mpaka giza lilipotanda mchana kweupe baada ya yeye kufa msalabani kabila ya kuja kufufuka siku ya tatu.
Hivyo, kwa kuzingatia historia hii na maandiko haya, basi hata nyingi yawapasa kuyatenda myatendayo.
Kazike huko mfwa mwenzio, Kwani itakuwa mara ya Kwanza Lissu kukamatwa? Na akikamatwa wewe kitu gani kinakuwasha?Wasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.
Mlio karibu na Mh Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.
Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama