KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Umejihesabu wewe ni mtu wa ngapi kuleta vitisho kama hivi hapa?Wasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.
Mlio karibu na Mhe. Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.
Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama
Bado una matumaini kuwa wewe ndiye utakayesikilizwa zaidi kati ya hao wengine wote?