Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Lissu lazima ajeWasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.
Mlio karibu na Mhe. Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.
Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama