Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haogopi kukamatwaWasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.
Mlio karibu na Mhe. Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.
Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama
Atawekwa quarantine kwa Siku 14 tu maana Corona bado ipoWasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.
Mlio karibu na Mhe. Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.
Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama
Hilo la kukamatwa kwake wala sio habari. Toka Magufuli aingie madarakani Lisu amekamatwa mara nyingi, mpaka kufikia kupigwa risasi ili kumuua. Sasa hivi katangaza kutaka kushindana na Magufuli, huku Magufuli akiwa hana uwezo wa kushindana naye kwenye box la kura, hapo unategemea ataacha kutumia madaraka yake kuagiza akamatwe?
Usimfananishe mandela na machiziHata Makaburu hawakujua athari za kumfunga Mandela mpaka yalipotimia.
Similarly, hata Farao hakujua gharama halisi ya kupambana na Musa until it was too late.
Halikadhalika,Wayahudi hawakuamini kuwa Yesu hakuwa mwanadamu wa kawaida mpaka giza lilipotanda mchana kweupe baada ya yeye kufa msalabani kabila ya kuja kufufuka siku ya tatu.
Hivyo, kwa kuzingatia historia hii na maandiko haya, basi hata nyingi yawapasa kuyatenda myatendayo.
Akamatwe kwa kosa gani? Lissu hajawahi kuwa muoga kiasi hicho, ni lazima aje sasa mtake msitake.Wasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.
Mlio karibu na Mhe. Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.
Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama
Utawala wa CCM hauna tofauti na mashetani Mkuu, hebu fikiria wale MAMIA YA WAPEMBA waliouawa kule Pemba pasipo hatia yeyote. Hawa WAHALIFU siku zao zinahesabika.Kweli nazidi kuamini kuna watu walioko kwenye system hawakupenda huyu GENTLEMAN TL Hata apone....ila ya Mungu mengi.jamaa anarudi home..... Home sweet home and not otherwise.katika historia ya siasa za Tanzania sijawahi kushuhudia chuki za wazi wazi kabisa za kisiasa kama awamu Hii.
Wasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.
Mlio karibu na Mhe. Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.
Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama
Bora arudi mwenyewe passport yake ibaki Safi kuliko kurudishwa na InterpolLissu anakuja nyie endeleeni na mipango yenu dhalimu hakuna cha kuogopa tena zaidi ya uoga wenyewe.
Hakuna anaejua madhara ya makosa kabla hajakosea.Wasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.
Mlio karibu na Mhe. Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.
Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama
Usiwe unapokea kila taarifa na kuitupia tu bila kuchuja,Wasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.
Mlio karibu na Mhe. Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.
Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama
Lissu ana kuuma eh 🤣🤣🤣Bora arudi mwenyewe passport yake ibaki Safi kuliko kurudishwa na Interpol
Ila mkifika lango la ukonga mpite kimyakimya msijewapandisha mzuka wale jamaa wakawavunja Tena mikono
Aje akae kwa adabu Kama corona ilivyokaa kwa adabuLissu ana kuuma eh 🤣🤣🤣
Lissu Ni mtu wa kawaida Kama makonda na gwajima aje tuomboleze tu, akifika chamsingi akabidhi diplomatic passport yetuUsiwe unapokea kila taarifa na kuitupia tu bila kuchuja,
Mahakama ya Tanzani haina ground za kutoa kibali (warrant) ya kukamatwa mtu ambae si mikosefu mbele ya mahakama hiyo.
Lissu ni mtuhumiwa katika mahaka ya Kisutu, ana kesi sita pale na zote zimesimama zinasubiri arudi zitaendelea kusikilizwa kama kawaida na Lissu ana dhamana.
Izingatiwe mahakama imekataa kukubali wadhamini wajiondoe ambayo ndio ingekuwa ground ya kumkamata akirejea. Kwasasa mahakama haihusiani na lolote litakalohusu kukamatwa ama vinginevyo. Ikiwa atakamatwa hilo litakuwa ni maagizo ya serikali na sio mahakama.
Nikushauri acha taharuki zisizokuwa na kichwa wala miguu...
Alafu ?Aje akae kwa adabu Kama corona ilivyokaa kwa adabu
Atakuwa raia mwemaAlafu ?
Hata Akwelina alikua raiya mwema.Atakuwa raia mwema
Kosa
Kosa "WANASEMA" amekiuka masharti ya dhamana