Mhe. Mbowe, hongera sana. You are the best; ila acha uongo, uzushi na uchochezi. Kati yako na serikali nani mkweli? Vifo ni 16 tu

Tena katika kusisitiza uzalendo, nitawaomba kuanzia saa 1:30 asubuhi nitakuwa live Star TV mgeni wangu akiwa ni Deodatus Balile wa gazeti la Jamhuri, tutasisitiza uzalendo na kuiaminia serikali na sio kuwaaminia wazushi.
Nyote ni vibaraka, waimba mapambio, wa Jiwe, mwenye akili timamu hawezi kukusikiliza! Balile naye alikengeuka baada ya kuona kuna mwanya wa cheo kwa kujikomba! Huna uhuru wa kusema kilicho moyoni mwako, short of that unafuatwa kabla ya kutoka mlangoni, UTASEMA UKWELI WAKO TOKA ROHONI HAPO Star Tv?
NB: Tutapata data za kweli za vifo kwa utaratibu aliouweka Mbowe.
 
Akina Gaudious Ishengoma et al hawamo... eti 16!
 
PASKALI LEO UKIPATA FURSA,BILA SHAKA UNAYO ...ULIZA,/MJADILI HIZI CLIP ZA MAZISHI YA USIKU DAR NA ARUSHA ILI MAMLAKA WATUAMBIE NI UONGO !
MBONA KILA KONA WATU WANARIPOTI VIFO KAMA SIO KORONA BADI TUAMBIWE KUNA NINI.
 
Ok thanks
 
Kwa kuwa mleta mada anapenda sana kuinukuu "theory ya "Karma"...


Is COVID-19 "karma" at it's best?

You reap what you sow...

Sometime back these were top 5 countries which had the highest death toll in the world:

1. Syria
2. Iraq
3. Yemen
4. Afghanistan
5. Libya

Whereas now the top 5 list has drastically changed to:

1. USA
2. Italy
3. Spain
4. France
5. UK

All the countries that took part in killing those innocents from the previous list are the countries from the 2nd list and their allies.

Yesterday’s most powerful nation are in a mess. Their livelihood, their plannings have failed.

Their financial system are at verge of collapsing.

All the games they played are hitting them back.

In This are lessons for these so called powerful nations.

I"karma" at its best?
 
Mbowe na wabunge wa CHADEMA wamekimbia vita, na kwenda kujifungia ndani, hawa sio viongozi, badala ya kuongoza vita vya corona, wamekimbia, october tutawapiga chini wote
Kujifungia ndani si ndo maelekezo ya wataalamu au. Na hata muheshimiwa Jiwe ndo mtanzania wa kwanza kujifungia ndani huko maporini
 
Pascal ni mchambuzi wa habari na mwana fasilihi. Ukisoma utangalizi hadi alipoishia na maneno "you are the best" ndipo lugha ya moja kwa.moja ilipotumia. Yaliyiuendelea ndiyo fasihi yenyewe. Kama umemwelewa Paskali kama mchonganishi, mtetezi wa takwimu za PM na anaemnanga KUB/Mbowe, utafanana na waandisha aliowasema wasio analaise taarifa waipokeayo.
 
Basi theory yako kama unaiamini inakuja kwa Jiwe kama ukiua unalipwa na Mungu, basi inakuja kwa Jiwe! Azory, Ben ,Mawazo, coco bech, persecutions etc,etc,
 
Najaribu kufanya "thread/post analysis"........naelewa vizuri sana ujumbe wako, umejaribu kuuficha lakini umeshindwa!😎😎
 

Umesema kweli kiongozi. Kuwa na mawazo hasi na mtu ama itikadi yake na kukataa kila anachosema ama kufanya kwa misingi ya misimamo bila kujali kina ukweli na maslahi kiasi gani ni dhana potofu na ni chanzo cha kudumaza mafanikio katikajamii na kuendeleza umaskini. Tunahitaji kuwa na elimu sahihi na kuchambua hoja kwa misingi yake na kuyachukua mazuri yenye manufaa haijalishi yanatoka kwa nani.

Vivyo hivyo kumkubalia mtu kila anachokiskiema na kukifanya hata kama ni vitu dhaifu kwa sababu ya mifungamano fulani, ni umaskini, ujinga na anguko la jamii na vizazi vyake.

Ni vizuri kama Mh. Mbowe angea ongelea na mazuri ya Serikali inayoyafanya kuhusu Corona ili watu wajue mitazamo wake, juu ya kipi kiendelezwe katika juhudi zilizopo, na kwa nini ni vizuri kiendelezwe, na ni kipi katika juhudi za Serikali hakina tija kiachwe na kwa vipi anaona hakisaidii.

Badala ya kulalamika, naona anazunguka mbuyu kiasi kwamba hawezi kueleweka moja kwa moja anataka nini "SPECIFICALLY".
Anatakiwa baada ya kuainisha mazuri yaliyofanywa na Serikali so far na udhaifu wake, mabaya yanayofanywa na serikali yanayostahili kutofanywa, apendekeze "NI HATUA ZIPI ZA NYONGEZA ZICHUKULIWE ILI KUBORESHA KILICHOPO".
Sina imani kwamba Serikali haijafanya lolote zuri dhidi ya Corona. NAOMBA BADALA YA KULALAMIKA ATOE SOLUTIONS.

Mbowe hana taarifa za undani za watendaji wa Wizara ya Afya waliobadilishwa. Hivyo hana scientific and administrative grounds za kuwatetea ama kutokuwatetea. Asichukulie kila kitu ni siasa. Wale hawapigiwi kura ni wataalam na ufanyaji kazi wao wakila siku anaujua mamlaka anayewasimamia. Hakupashwa kuingilia mamlaka katika hili.

Tatu ninapata shida kuelewa hoja ya kusema "Mataifa Mengine". Katika viata hii, sijaona taifa ambao limekuwa Ruler ya kupambana na Korona ambayo tunahitaji kuifuta wote. Kila mahala kumekuwa na ubunifu wake wa maboresho juu ya miongozo ya WHO. Na hii haitufanyi sisi tupeleke likizo fahamu zote, tusahau mahitaji yetu, mazingira yetu na mifumo yetu ya kijamii na kiuchumi, tuseme tukacopy na kupaste practices za jamii za Marekani ambazo ziko tofauti za za kwetu, kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na kitechnolojia.

NILITAMANI SANA NISIKIE MHESHIMIWA AKIOGELEA SUALA LA KUTAFUTA SOLUTIONS FROM INSIDE. KWA YANAYOTOKEA DUNIANI AMBAYO YAMEAMBATANA NA HILI JANGA, SIDHUANI NI JAMBO SAHIHI KUENDELEA KUHIMIZA JAMII ZETU ZIENDELEE KUEGEMEA SUPPORT KUTOKA UGHAIBUNI. NI WAKATI MUAFAKA WA AFRICA, NA TANZANIA AMBAYO INA KILA AINA YA UOTO UNAOHITAJIKA KWA MADAWA KUWEKEZA KATIKA UTENGENEZAJI WA DAWA HAPA NYUMBANI.

PENGINE KAMA KUNA MABADILIKO MAKUBWA KATIKA MONITORY PLANS ZETU NI KUWEKEZA KUKUBWA KATIKA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA AFYA. (Najuua hii inaweza kwa long and medium plan, lakini ianze kufanyiwa kazi huku tukitafuta njia za muda mfupi za kuokoa maisha yetu kwa sasa).

UTEGEMEZI UTATUMALIZA.MBOWE ACHANA NA SERA ZA MISAADA NA UTEGEMEZI HAZINA TIJA. HIMIZA TUJENGE UWEZO WETU WENYEWE, TUNA WANA SAYANSI NA KILA KITU, TUNAWEZA!.

Lakini pia nampongeza sana kwa hotuba inayoonyesha uelewa na hitaji na kuliunganisha taifa. Ninaomba kilia mtu apokee hii spirit ya umoja, chuki na ubaguzi wa kiasa viishe hata baada ya Corona tujenge nchi yetu pamoja. Ikiwezekana iwekwe sheria dhidi ya ubaguzi wa kisiasa.

Naomba sana tuache kuiattack serikali na kuilaumu bila hata kutambua mazuri inayofanya, badala yake tukosoe na kuonyesha njia pasipo hila chuki wala majungu. Serikali inahitaji support ya wananchi wake ili izidi kufanya mema zaidi. Na Serkali ikubali kupokea positive criticisms kwa kujua kwamba ni njia za kutusukuma mbele zaidi. KIKUBWA TUKOSOANE BILA KUKOSANA, TUPINGANE BILA KUPIGANA, TUSHIRIKIANE BILA HILA.

Ahsante Pascal Mayalla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…