Mhe. Mbowe, hongera sana. You are the best; ila acha uongo, uzushi na uchochezi. Kati yako na serikali nani mkweli? Vifo ni 16 tu

Wanabodi,

Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya kuchambua alichokisema kiongozi huyo wala what does it mean, the impact ya kilichozungumzwa, na the consequences. Kazi za media zetu ni kuripoti tu kama kasuku. Angalau sisi JF, ndio angalau tunafanya uchambuzi, alichofanya Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, ni a very good piece of news analysis ya hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa Ikulu ya Chato na update ya Corona iliyotolewa na Waziri Mkuu.

Mnyonge, mnyongeni, haki yake mpeni. Tangu kuingia kwa janga hili la Corona, sio tu hakuna kiongozi yoyote amewahi kuizungumzia Corona vizuri na kwa ufasaha kama Mhe. Freeman Mbowe, bali pia tangu nimemfahamu Mbowe na kumsikia, hajawahi kuzungumza vizuri hivi hata mara moja. Freeman, you are the best, hongera sana!

Ila sehemu moja tu ndiyo Mbowe ameharibu, kwenye idadi ya vifo vya Corona. Serikali ilishatoa waraka kuwa wasemaji wa update ya Corona kwa Tanzania ni watu 5 tu. Rais, Makamo, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya -- then update ya Corona itatolewa na serikali tu. Sasa kama Waziri Mkuu kasema vifo vya Corona ni 16 tu, then huu ndiyo ukweli. Tanzania watu waliokufa kwa Corona mpaka sasa ninapoandika hapa, ni watu 16 tu na huu ndio ukweli wenyewe.

Kitendo cha kumuita Waziri Mkuu wa JMT kuwa ni muongo na serikali inaficha data za vifo vya Corona, huu ni uongo na uchochezi.

Kati ya Mhe. Mbowe na Waziri Mkuu wa JMT, nani ni mkweli na nani ni muongo? Watanzania wamwamini nani kati ya Waziri Mkuu wa JMT na Waziri Mkuu kivuli?

Kama serikali imesema vifo ni 16 tu, then vifo ni 16, hata kama umeshuhudia watu 100 wakizikwa na serikali kwa mazishi ya kuhudhuriwa na watu kumi tu. Ukweli wa idadi ya vifo vya Corona ni vifo 16 tu kwasababu sio kila anayekufa amekufa kwa Corona. Hata kama hao wengine wote nao pia walionesha dalili kama za Corona, mamlaka pekee inayojua mgonjwa kafa na nini, ni madaktari tu. Na kwenye case ya Corona, waliokufa kwa Corona ni watu 16 tu, hawa wengine wote wanaokufa kwa matatizo ya kupumua, hayo ni matatizo yao tu, na pia wagonjwa wa magonjwa mengine pia wanaendelea kufa, ili kuzuia mikusanyiko katika misiba, serikali imeamua kuwakinga watu wake kwa kujitolea kuwasaidia Watanzania wengine wote kwa upendo kwa kuwazikia ndugu na wapendwa wao.

Hivyo Mhe. Mbowe, asante kwa kuongea vizuri ila uache uongo na uchochezi kuisingizia serikali yetu inaficha kitu, serikali yetu ni wakweli, hawafichi kitu, waliokufa kwa Corona mpaka sasa ni hao 16 tu, na huo ndio ukweli wetu, tena ni afadhali ya sisi tumetangaza ukweli wa wote waliokufa kwa Corona nchini kwetu ni hao 16 tu; je, ungekuwa unaishi Rwanda na Uganda, kule hakuna hata mmoja aliyekufa, ungesemaje?

Watanzania wenzangu ambao ni wazalendo, naombeni tuendelee kuiaminia serikali yetu kuwa inasema ukweli wote kuhusu Corona, tusiwasikilize, waongo, wazushi, wachochezi na wachonganishi wanaotaka kuichonganisha serikali na wananchi, kwa kuwadanganya kila anayekufa, amekufa kwa Corona, japo ni kweli vifo vya ghafla vimeongezeka, ila siyo vifo vyote ni Corona. Vifo vingine ni magonjwa mengine ukiwemo matatizo ya kupumua.

Tena katika kusisitiza uzalendo, nitawaomba kuanzia saa 1:30 asubuhi nitakuwa live Star TV mgeni wangu akiwa ni Deodatus Balile wa gazeti la Jamhuri, tutasisitiza uzalendo na kuiaminia serikali na sio kuwaaminia wazushi.

Paskali

Paskali nakubaliana na wewe 110% kwamba media za Tanzania hazina news analysis. Wana-report kama kasuku tu. Kwa hio bado unataka ware-port kama kasuku hata pale ambapo dalili zote zinaonyesha kuwa waliokufa ni zaidi 16?
 
andiko la ovyo kabisa , Mbowe ni mkuu wa kambi Rasmi ya upinzani Bungeni anaongea ana data na ana audience yake yule, waziri mkuu pia ana audience yake wewe msikilize unae mtaka sio lazima umsikilize mbowe.

unafikwa ukifikwa utabadili upepo. nasubili alie kuombea corona ikupate aone andiko la namna hii ili kieleweke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe liongo sana

Paskali ni kweli KOLONA imezidiwa na UGONJWA WA MATATIZO YA KUPUMUA ambao mpaka sasa hauna jina! Na ni kweli huu ni ugonjwa wa ajabu sana.....UNATEMBEA HALAFU GHAFLA UNAANGUKA CHINI! Halafu Ambulance ikija inakuja na watu wenye suti nyeupe, waliovaa gloves, na N95 respirator masks huku wakichukua tahadhari ya hali ya juu.
Kaka Paskali, Unajua UKIMWI si ugonjwa ndiyo maana hadi leo pamoja na kuambiwa kuwa kuna watanzania 1.4 Millions wanaougua sijasikia hata mtu mmoja akisemwa amekufa kwa ugonjwa wa UKIMWI.....Kenya wanasema amekufa kutokana na complications zilizotokana na ukosefu wa kinga mwilini. Ooh Uganda ndiyo wanasema kabisa bila kumung'unya maneno wala kupepesa macho ( kwa maneno ya mzee wa Jalalani) wanaisema kwa Ki-inglishi, inawezekana wanasema kwa ki-Luganda pia (Nitachunguza). Inawezekana kabisa KOLONA si ugonjwa bali ni wale wajameni wanaoruka ruka kwenye damu na mapafu.
 
Noted
Wanabodi,

Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya kuchambua alichokisema kiongozi huyo wala what does it mean, the impact ya kilichozungumzwa, na the consequences. Kazi za media zetu ni kuripoti tu kama kasuku. Angalau sisi JF, ndio angalau tunafanya uchambuzi, alichofanya Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, ni a very good piece of news analysis ya hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa Ikulu ya Chato na update ya Corona iliyotolewa na Waziri Mkuu.

Mnyonge, mnyongeni, haki yake mpeni. Tangu kuingia kwa janga hili la Corona, sio tu hakuna kiongozi yoyote amewahi kuizungumzia Corona vizuri na kwa ufasaha kama Mhe. Freeman Mbowe, bali pia tangu nimemfahamu Mbowe na kumsikia, hajawahi kuzungumza vizuri hivi hata mara moja. Freeman, you are the best, hongera sana!

Ila sehemu moja tu ndiyo Mbowe ameharibu, kwenye idadi ya vifo vya Corona. Serikali ilishatoa waraka kuwa wasemaji wa update ya Corona kwa Tanzania ni watu 5 tu. Rais, Makamo, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya -- then update ya Corona itatolewa na serikali tu. Sasa kama Waziri Mkuu kasema vifo vya Corona ni 16 tu, then huu ndiyo ukweli. Tanzania watu waliokufa kwa Corona mpaka sasa ninapoandika hapa, ni watu 16 tu na huu ndio ukweli wenyewe.

Kitendo cha kumuita Waziri Mkuu wa JMT kuwa ni muongo na serikali inaficha data za vifo vya Corona, huu ni uongo na uchochezi.

Kati ya Mhe. Mbowe na Waziri Mkuu wa JMT, nani ni mkweli na nani ni muongo? Watanzania wamwamini nani kati ya Waziri Mkuu wa JMT na Waziri Mkuu kivuli?

Kama serikali imesema vifo ni 16 tu, then vifo ni 16, hata kama umeshuhudia watu 100 wakizikwa na serikali kwa mazishi ya kuhudhuriwa na watu kumi tu. Ukweli wa idadi ya vifo vya Corona ni vifo 16 tu kwasababu sio kila anayekufa amekufa kwa Corona. Hata kama hao wengine wote nao pia walionesha dalili kama za Corona, mamlaka pekee inayojua mgonjwa kafa na nini, ni madaktari tu. Na kwenye case ya Corona, waliokufa kwa Corona ni watu 16 tu, hawa wengine wote wanaokufa kwa matatizo ya kupumua, hayo ni matatizo yao tu, na pia wagonjwa wa magonjwa mengine pia wanaendelea kufa, ili kuzuia mikusanyiko katika misiba, serikali imeamua kuwakinga watu wake kwa kujitolea kuwasaidia Watanzania wengine wote kwa upendo kwa kuwazikia ndugu na wapendwa wao.

Hivyo Mhe. Mbowe, asante kwa kuongea vizuri ila uache uongo na uchochezi kuisingizia serikali yetu inaficha kitu, serikali yetu ni wakweli, hawafichi kitu, waliokufa kwa Corona mpaka sasa ni hao 16 tu, na huo ndio ukweli wetu, tena ni afadhali ya sisi tumetangaza ukweli wa wote waliokufa kwa Corona nchini kwetu ni hao 16 tu; je, ungekuwa unaishi Rwanda na Uganda, kule hakuna hata mmoja aliyekufa, ungesemaje?

Watanzania wenzangu ambao ni wazalendo, naombeni tuendelee kuiaminia serikali yetu kuwa inasema ukweli wote kuhusu Corona, tusiwasikilize, waongo, wazushi, wachochezi na wachonganishi wanaotaka kuichonganisha serikali na wananchi, kwa kuwadanganya kila anayekufa, amekufa kwa Corona, japo ni kweli vifo vya ghafla vimeongezeka, ila siyo vifo vyote ni Corona. Vifo vingine ni magonjwa mengine ukiwemo matatizo ya kupumua.

Tena katika kusisitiza uzalendo, nitawaomba kuanzia saa 1:30 asubuhi nitakuwa live Star TV mgeni wangu akiwa ni Deodatus Balile wa gazeti la Jamhuri, tutasisitiza uzalendo na kuiaminia serikali na sio kuwaaminia wazushi.

Paskali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wamekuwa wakituambia "...kama sio GT, huwezi kumwelewa Pasco"!!

Nami nakubaliana nao kwamba "kama sio GT huwezi kumwelewa Pasco wa JF kutokana na staili yake ya uandishi ingawaje pia mara zote nimekuwa nikiwaambia, "Pasco ni mwandishi mzuri wa sarcasm..."

Na kwavile ni mwandishi mzuri wa sarcasm, nawe ukiwa mzuri katika sarcasm/ utamwelewa tu Pasco ni wapi anaandika sarcasm kwa maana halisi ya sarcasm na wapi anaandika sarcasm huku akitaka watu waamini ni sarcasm kwavile ndivyo walivyomzoea kumbe kimsingi anamaanisha alichoandika"

Nasemaga hilo kwa sababu sarcasm ina elements zake!

Mara ya mwisho kuongelea hili ni jana, lakini nimemsahau member husika!

Ningemkumbuka ningemwambia aje kuusoma huu uzi ili ajue Pasco anapomaanisha sarcasm huwa anaandikaje!!

Anyway, na mimi kama ilivyo kawaida yangu, pengine lazima nikupinge na pengine nitakuunga tu mkono... kwahiyo nakubaliana na wewe Mheshimiwa Mbowe ni mwongo, mzushi na mfitinishi labda anayelenga kuleta machafuko kwa sababu ni kweli vifo ni 16 tu; haidhuru hata kama watu wameona malori yaliyojaa maiti zinazozikwa usiku wa manane!!
Sasa kama huyo pasco anataka kuwaelewesha watu waelewe hotuba ya mbowe si aweke uwazi wa kuelwa vizuri tu anafichaficha nn maandiko yake huyo pasco nae ni mpuuzi tu kama walivyowapuzi hao anaojipendekeza kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia Corona kupata uteuzi, SHETANI MKUBWA WEWE!.

Hata Jennny Muro alikuwa kama wewe akapewa ukuu wa wilaya. Jiandae kwenda mtwara ukachukue nafasivya aliyekufa kwa Corona.
tapatalk_1588404491835.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama huyo pasco anataka kuwaelewesha watu waelewe hotuba ya mbowe si aweke uwazi wa kuelwa vizuri tu anafichaficha nn maandiko yake huyo pasco nae ni mpuuzi tu kama walivyowapuzi hao anaojipendekeza kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sina jibu bhana, Pascal Mayalla, unaulizwa huku... sasa unaficha ficha nini?!

Au labda na mimi niseme; but wait wait... sio kwamba nakupangia nikisema labda use sarcasm ONLY when necessary manake, mosi, hueleweki ni wakati gani upo real with some concern kama hapa:-
Hivyo wanabodi, tunaposifina humu kwa maswali magumu kama yale ya Ben Saanane, tusiishie kusifiana tuu humu bali tuangalie na hatma za maisha yetu na familia zetu, hivyo ikitokea mtu aliyekuwa very critical on the status quo, ghafla akageuka na kuanza kuunga mkono juhudi, nawaombeni sana muwaelewe watu wa aina hii ambao hawaangalii leo au sasa bali wanaangalia kesho na kuangalia mbali.
Na pia hatuelewi ni wakati gani unamaanisha kwa ambacho ungependa ieleweke hujamaanisha!

Sema hapo nilipo-highlight with RED nilitamani nikukumbushe ile thread yako ambayo baada ya kusakamwa sana kuhusu Eric, hatimae ukaja na thread kuonesha walikuwa wanakuonea bure "...si mnaona, kakiri" bila kujua inawezekana kakiri kutokana na hapo kwenye RED!
 
pascal unahangaika sana kupewa nafasi ila hadi leo huja[ewa kitu! labda hii ya mtwara huenda ILA SIDHANI. Wanaozikwa kwa corona ni ndugu, jamaa na majirani zetu! binafsi waliozikwa na serikali nawajua sio chini ya 7! hebu tuongee kama watu tunaoishi uraiani na tunaona yanaendelea tuache ubishi wa KIJUHA.
 
Pasco hivi ulitegemea mtu aliyepata zero shuleni aongee nini cha maana tena kwa ishu ya kisayansi kama hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama alipata zero lakini anaweza kuongea maneno yenye hekima,ukweli na busara ni bora kuongozwa na watu kama hawa kuliko kuongozwa na watu waliopata div.1 lkn hekima busara na maelekezo yao ni aibu tupu.
 
Pasco nimekuelewa unachomaanisha na umekuwa na aina hii ya uandishi wa tafsida kwa muda mrefu sasa.
Nikushauri jambo,kuna mazingira ambayo si busara wala hekima kutumia tafsida kama hizi.
Tuna janga ambalo kila mtu anapaswa straight forward kuonyesha anapambana nalo.
Wewe ni nguli humu,ni Mwandishi maarufu,ni public figure.
Kwa situation tuliyofikia,unapaswa kuweka tafsida zote kando and be straight kile unachosimamia ukielezee kwa uwazi na lugha iliyonyooka.
Imagine kwa status yako kwenye jamii,ukiamua kufuata ushauri huu ukakemea kwa nguvu na kunyoosha lugha kama lile swali ulilouliza siku ile pale Ikulu,impact gani utaleta kwenye jamii?Bila shaka ni kubwa mno.Usiogope vikao vya kuitwa kule naniliu.Watakuita mwisho watachoka.
Na hata kama watakufanya chochote kibaya,basi lile watalokufanyia kitakuwa ni ulimi uzungumzao a thousand times kuliko hata maneno yako.Utakuwa ufa unaobomoa nyumba yao wenyewe watakaokufanyia ubaya.
Be straight Pasco.
Watu wanakufa Pasco.
Hapa tumuambie serikali kwa uwazi tuu bila kuogopa ili atikisike na kuona watanzania wamekunja sura,wanaumia,asipostuka asitulaumu baadae.
 
Wanabodi,

Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya kuchambua alichokisema kiongozi huyo wala what does it mean, the impact ya kilichozungumzwa, na the consequences. Kazi za media zetu ni kuripoti tu kama kasuku. Angalau sisi JF, ndio angalau tunafanya uchambuzi, alichofanya Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, ni a very good piece of news analysis ya hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa Ikulu ya Chato na update ya Corona iliyotolewa na Waziri Mkuu.

Mnyonge, mnyongeni, haki yake mpeni. Tangu kuingia kwa janga hili la Corona, sio tu hakuna kiongozi yoyote amewahi kuizungumzia Corona vizuri na kwa ufasaha kama Mhe. Freeman Mbowe, bali pia tangu nimemfahamu Mbowe na kumsikia, hajawahi kuzungumza vizuri hivi hata mara moja. Freeman, you are the best, hongera sana!

Ila sehemu moja tu ndiyo Mbowe ameharibu, kwenye idadi ya vifo vya Corona. Serikali ilishatoa waraka kuwa wasemaji wa update ya Corona kwa Tanzania ni watu 5 tu. Rais, Makamo, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya -- then update ya Corona itatolewa na serikali tu. Sasa kama Waziri Mkuu kasema vifo vya Corona ni 16 tu, then huu ndiyo ukweli. Tanzania watu waliokufa kwa Corona mpaka sasa ninapoandika hapa, ni watu 16 tu na huu ndio ukweli wenyewe.

Kitendo cha kumuita Waziri Mkuu wa JMT kuwa ni muongo na serikali inaficha data za vifo vya Corona, huu ni uongo na uchochezi.

Kati ya Mhe. Mbowe na Waziri Mkuu wa JMT, nani ni mkweli na nani ni muongo? Watanzania wamwamini nani kati ya Waziri Mkuu wa JMT na Waziri Mkuu kivuli?

Kama serikali imesema vifo ni 16 tu, then vifo ni 16, hata kama umeshuhudia watu 100 wakizikwa na serikali kwa mazishi ya kuhudhuriwa na watu kumi tu. Ukweli wa idadi ya vifo vya Corona ni vifo 16 tu kwasababu sio kila anayekufa amekufa kwa Corona. Hata kama hao wengine wote nao pia walionesha dalili kama za Corona, mamlaka pekee inayojua mgonjwa kafa na nini, ni madaktari tu. Na kwenye case ya Corona, waliokufa kwa Corona ni watu 16 tu, hawa wengine wote wanaokufa kwa matatizo ya kupumua, hayo ni matatizo yao tu, na pia wagonjwa wa magonjwa mengine pia wanaendelea kufa, ili kuzuia mikusanyiko katika misiba, serikali imeamua kuwakinga watu wake kwa kujitolea kuwasaidia Watanzania wengine wote kwa upendo kwa kuwazikia ndugu na wapendwa wao.

Hivyo Mhe. Mbowe, asante kwa kuongea vizuri ila uache uongo na uchochezi kuisingizia serikali yetu inaficha kitu, serikali yetu ni wakweli, hawafichi kitu, waliokufa kwa Corona mpaka sasa ni hao 16 tu, na huo ndio ukweli wetu, tena ni afadhali ya sisi tumetangaza ukweli wa wote waliokufa kwa Corona nchini kwetu ni hao 16 tu; je, ungekuwa unaishi Rwanda na Uganda, kule hakuna hata mmoja aliyekufa, ungesemaje?

Watanzania wenzangu ambao ni wazalendo, naombeni tuendelee kuiaminia serikali yetu kuwa inasema ukweli wote kuhusu Corona, tusiwasikilize, waongo, wazushi, wachochezi na wachonganishi wanaotaka kuichonganisha serikali na wananchi, kwa kuwadanganya kila anayekufa, amekufa kwa Corona, japo ni kweli vifo vya ghafla vimeongezeka, ila siyo vifo vyote ni Corona. Vifo vingine ni magonjwa mengine ukiwemo matatizo ya kupumua.

Tena katika kusisitiza uzalendo, nitawaomba kuanzia saa 1:30 asubuhi nitakuwa live Star TV mgeni wangu akiwa ni Deodatus Balile wa gazeti la Jamhuri, tutasisitiza uzalendo na kuiaminia serikali na sio kuwaaminia wazushi.

Paskali

Safi

Hata bila corona

Kwa siku kawaida tanzania nzima hufa average ya watu 100- 1000

Huzaliwa average ya watu 1000-3500

Yaani hii ipo tu
 
Back
Top Bottom