Wanaokuita bibi hawajakosea[emoji16] you are living the past, not the real world!Chama tawala ni kipi, CCM ilishinda kura kwa asilimia ngapi vile?
Au ilipigiwa kura za ushindi na wapinzani?
Paskali nakubaliana na wewe 110% kwamba media za Tanzania hazina news analysis. Wana-report kama kasuku tu. Kwa hio bado unataka ware-port kama kasuku hata pale ambapo dalili zote zinaonyesha kuwa waliokufa ni zaidi 16?Wanabodi,
Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya kuchambua alichokisema kiongozi huyo wala what does it mean, the impact ya kilichozungumzwa, na the consequences. Kazi za media zetu ni kuripoti tu kama kasuku. Angalau sisi JF, ndio angalau tunafanya uchambuzi, alichofanya Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, ni a very good piece of news analysis ya hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa Ikulu ya Chato na update ya Corona iliyotolewa na Waziri Mkuu.
Mnyonge, mnyongeni, haki yake mpeni. Tangu kuingia kwa janga hili la Corona, sio tu hakuna kiongozi yoyote amewahi kuizungumzia Corona vizuri na kwa ufasaha kama Mhe. Freeman Mbowe, bali pia tangu nimemfahamu Mbowe na kumsikia, hajawahi kuzungumza vizuri hivi hata mara moja. Freeman, you are the best, hongera sana!
Ila sehemu moja tu ndiyo Mbowe ameharibu, kwenye idadi ya vifo vya Corona. Serikali ilishatoa waraka kuwa wasemaji wa update ya Corona kwa Tanzania ni watu 5 tu. Rais, Makamo, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya -- then update ya Corona itatolewa na serikali tu. Sasa kama Waziri Mkuu kasema vifo vya Corona ni 16 tu, then huu ndiyo ukweli. Tanzania watu waliokufa kwa Corona mpaka sasa ninapoandika hapa, ni watu 16 tu na huu ndio ukweli wenyewe.
Kitendo cha kumuita Waziri Mkuu wa JMT kuwa ni muongo na serikali inaficha data za vifo vya Corona, huu ni uongo na uchochezi.
Kati ya Mhe. Mbowe na Waziri Mkuu wa JMT, nani ni mkweli na nani ni muongo? Watanzania wamwamini nani kati ya Waziri Mkuu wa JMT na Waziri Mkuu kivuli?
Kama serikali imesema vifo ni 16 tu, then vifo ni 16, hata kama umeshuhudia watu 100 wakizikwa na serikali kwa mazishi ya kuhudhuriwa na watu kumi tu. Ukweli wa idadi ya vifo vya Corona ni vifo 16 tu kwasababu sio kila anayekufa amekufa kwa Corona. Hata kama hao wengine wote nao pia walionesha dalili kama za Corona, mamlaka pekee inayojua mgonjwa kafa na nini, ni madaktari tu. Na kwenye case ya Corona, waliokufa kwa Corona ni watu 16 tu, hawa wengine wote wanaokufa kwa matatizo ya kupumua, hayo ni matatizo yao tu, na pia wagonjwa wa magonjwa mengine pia wanaendelea kufa, ili kuzuia mikusanyiko katika misiba, serikali imeamua kuwakinga watu wake kwa kujitolea kuwasaidia Watanzania wengine wote kwa upendo kwa kuwazikia ndugu na wapendwa wao.
Hivyo Mhe. Mbowe, asante kwa kuongea vizuri ila uache uongo na uchochezi kuisingizia serikali yetu inaficha kitu, serikali yetu ni wakweli, hawafichi kitu, waliokufa kwa Corona mpaka sasa ni hao 16 tu, na huo ndio ukweli wetu, tena ni afadhali ya sisi tumetangaza ukweli wa wote waliokufa kwa Corona nchini kwetu ni hao 16 tu; je, ungekuwa unaishi Rwanda na Uganda, kule hakuna hata mmoja aliyekufa, ungesemaje?
Watanzania wenzangu ambao ni wazalendo, naombeni tuendelee kuiaminia serikali yetu kuwa inasema ukweli wote kuhusu Corona, tusiwasikilize, waongo, wazushi, wachochezi na wachonganishi wanaotaka kuichonganisha serikali na wananchi, kwa kuwadanganya kila anayekufa, amekufa kwa Corona, japo ni kweli vifo vya ghafla vimeongezeka, ila siyo vifo vyote ni Corona. Vifo vingine ni magonjwa mengine ukiwemo matatizo ya kupumua.
Tena katika kusisitiza uzalendo, nitawaomba kuanzia saa 1:30 asubuhi nitakuwa live Star TV mgeni wangu akiwa ni Deodatus Balile wa gazeti la Jamhuri, tutasisitiza uzalendo na kuiaminia serikali na sio kuwaaminia wazushi.
Paskali
Kilaza kama wewe ndiyo humwelewi wengine walishamwelewa zamani!!!!!Ukiwa kilaza maandiko ya Pasco aka mzee Wa kungata na kupuliza kumuelewa ni ngumu sana!
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabodi,

Paskali ni kweli KOLONA imezidiwa na UGONJWA WA MATATIZO YA KUPUMUA ambao mpaka sasa hauna jina! Na ni kweli huu ni ugonjwa wa ajabu sana.....UNATEMBEA HALAFU GHAFLA UNAANGUKA CHINI! Halafu Ambulance ikija inakuja na watu wenye suti nyeupe, waliovaa gloves, na N95 respirator masks huku wakichukua tahadhari ya hali ya juu.Wanabodi,

Pasco hivi ulitegemea mtu aliyepata zero shuleni aongee nini cha maana tena kwa ishu ya kisayansi kama hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa kilaza maandiko ya Pasco aka mzee Wa kungata na kupuliza kumuelewa ni ngumu sana!

Kuna mmoja kajificha kijijini kwao mpaka leo haonekani.Mbowe na wabunge wa CHADEMA wamekimbia vita, na kwenda kujifungia ndani, hawa sio viongozi, badala ya kuongoza vita vya corona, wamekimbia, october tutawapiga chini wote
Sasa kama huyo pasco anataka kuwaelewesha watu waelewe hotuba ya mbowe si aweke uwazi wa kuelwa vizuri tu anafichaficha nn maandiko yake huyo pasco nae ni mpuuzi tu kama walivyowapuzi hao anaojipendekeza kwaoKuna watu wamekuwa wakituambia "...kama sio GT, huwezi kumwelewa Pasco"!!
Nami nakubaliana nao kwamba "kama sio GT huwezi kumwelewa Pasco wa JF kutokana na staili yake ya uandishi ingawaje pia mara zote nimekuwa nikiwaambia, "Pasco ni mwandishi mzuri wa sarcasm..."
Na kwavile ni mwandishi mzuri wa sarcasm, nawe ukiwa mzuri katika sarcasm/ utamwelewa tu Pasco ni wapi anaandika sarcasm kwa maana halisi ya sarcasm na wapi anaandika sarcasm huku akitaka watu waamini ni sarcasm kwavile ndivyo walivyomzoea kumbe kimsingi anamaanisha alichoandika"
Nasemaga hilo kwa sababu sarcasm ina elements zake!
Mara ya mwisho kuongelea hili ni jana, lakini nimemsahau member husika!
Ningemkumbuka ningemwambia aje kuusoma huu uzi ili ajue Pasco anapomaanisha sarcasm huwa anaandikaje!!
Anyway, na mimi kama ilivyo kawaida yangu, pengine lazima nikupinge na pengine nitakuunga tu mkono... kwahiyo nakubaliana na wewe Mheshimiwa Mbowe ni mwongo, mzushi na mfitinishi labda anayelenga kuleta machafuko kwa sababu ni kweli vifo ni 16 tu; haidhuru hata kama watu wameona malori yaliyojaa maiti zinazozikwa usiku wa manane!!
Wewe ni mweupe kichwani, na upo JF kimakosa...nenda FB huko ndiko kunakufaa...Unaakili kidogo sana sio lazima ulichoelewa wewe kila mtu aelewe hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sina jibu bhana, Pascal Mayalla, unaulizwa huku... sasa unaficha ficha nini?!Sasa kama huyo pasco anataka kuwaelewesha watu waelewe hotuba ya mbowe si aweke uwazi wa kuelwa vizuri tu anafichaficha nn maandiko yake huyo pasco nae ni mpuuzi tu kama walivyowapuzi hao anaojipendekeza kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia hatuelewi ni wakati gani unamaanisha kwa ambacho ungependa ieleweke hujamaanisha!Hivyo wanabodi, tunaposifina humu kwa maswali magumu kama yale ya Ben Saanane, tusiishie kusifiana tuu humu bali tuangalie na hatma za maisha yetu na familia zetu, hivyo ikitokea mtu aliyekuwa very critical on the status quo, ghafla akageuka na kuanza kuunga mkono juhudi, nawaombeni sana muwaelewe watu wa aina hii ambao hawaangalii leo au sasa bali wanaangalia kesho na kuangalia mbali.
Pasco hivi ulitegemea mtu aliyepata zero shuleni aongee nini cha maana tena kwa ishu ya kisayansi kama hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama alipata zero lakini anaweza kuongea maneno yenye hekima,ukweli na busara ni bora kuongozwa na watu kama hawa kuliko kuongozwa na watu waliopata div.1 lkn hekima busara na maelekezo yao ni aibu tupu.Pasco hivi ulitegemea mtu aliyepata zero shuleni aongee nini cha maana tena kwa ishu ya kisayansi kama hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanabodi,
Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya kuchambua alichokisema kiongozi huyo wala what does it mean, the impact ya kilichozungumzwa, na the consequences. Kazi za media zetu ni kuripoti tu kama kasuku. Angalau sisi JF, ndio angalau tunafanya uchambuzi, alichofanya Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, ni a very good piece of news analysis ya hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa Ikulu ya Chato na update ya Corona iliyotolewa na Waziri Mkuu.
Mnyonge, mnyongeni, haki yake mpeni. Tangu kuingia kwa janga hili la Corona, sio tu hakuna kiongozi yoyote amewahi kuizungumzia Corona vizuri na kwa ufasaha kama Mhe. Freeman Mbowe, bali pia tangu nimemfahamu Mbowe na kumsikia, hajawahi kuzungumza vizuri hivi hata mara moja. Freeman, you are the best, hongera sana!
Ila sehemu moja tu ndiyo Mbowe ameharibu, kwenye idadi ya vifo vya Corona. Serikali ilishatoa waraka kuwa wasemaji wa update ya Corona kwa Tanzania ni watu 5 tu. Rais, Makamo, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya -- then update ya Corona itatolewa na serikali tu. Sasa kama Waziri Mkuu kasema vifo vya Corona ni 16 tu, then huu ndiyo ukweli. Tanzania watu waliokufa kwa Corona mpaka sasa ninapoandika hapa, ni watu 16 tu na huu ndio ukweli wenyewe.
Kitendo cha kumuita Waziri Mkuu wa JMT kuwa ni muongo na serikali inaficha data za vifo vya Corona, huu ni uongo na uchochezi.
Kati ya Mhe. Mbowe na Waziri Mkuu wa JMT, nani ni mkweli na nani ni muongo? Watanzania wamwamini nani kati ya Waziri Mkuu wa JMT na Waziri Mkuu kivuli?
Kama serikali imesema vifo ni 16 tu, then vifo ni 16, hata kama umeshuhudia watu 100 wakizikwa na serikali kwa mazishi ya kuhudhuriwa na watu kumi tu. Ukweli wa idadi ya vifo vya Corona ni vifo 16 tu kwasababu sio kila anayekufa amekufa kwa Corona. Hata kama hao wengine wote nao pia walionesha dalili kama za Corona, mamlaka pekee inayojua mgonjwa kafa na nini, ni madaktari tu. Na kwenye case ya Corona, waliokufa kwa Corona ni watu 16 tu, hawa wengine wote wanaokufa kwa matatizo ya kupumua, hayo ni matatizo yao tu, na pia wagonjwa wa magonjwa mengine pia wanaendelea kufa, ili kuzuia mikusanyiko katika misiba, serikali imeamua kuwakinga watu wake kwa kujitolea kuwasaidia Watanzania wengine wote kwa upendo kwa kuwazikia ndugu na wapendwa wao.
Hivyo Mhe. Mbowe, asante kwa kuongea vizuri ila uache uongo na uchochezi kuisingizia serikali yetu inaficha kitu, serikali yetu ni wakweli, hawafichi kitu, waliokufa kwa Corona mpaka sasa ni hao 16 tu, na huo ndio ukweli wetu, tena ni afadhali ya sisi tumetangaza ukweli wa wote waliokufa kwa Corona nchini kwetu ni hao 16 tu; je, ungekuwa unaishi Rwanda na Uganda, kule hakuna hata mmoja aliyekufa, ungesemaje?
Watanzania wenzangu ambao ni wazalendo, naombeni tuendelee kuiaminia serikali yetu kuwa inasema ukweli wote kuhusu Corona, tusiwasikilize, waongo, wazushi, wachochezi na wachonganishi wanaotaka kuichonganisha serikali na wananchi, kwa kuwadanganya kila anayekufa, amekufa kwa Corona, japo ni kweli vifo vya ghafla vimeongezeka, ila siyo vifo vyote ni Corona. Vifo vingine ni magonjwa mengine ukiwemo matatizo ya kupumua.
Tena katika kusisitiza uzalendo, nitawaomba kuanzia saa 1:30 asubuhi nitakuwa live Star TV mgeni wangu akiwa ni Deodatus Balile wa gazeti la Jamhuri, tutasisitiza uzalendo na kuiaminia serikali na sio kuwaaminia wazushi.
Paskali
Na kukiwa na KOLONA wanakufa average ya watu wangapi na wanazaliwa wangapi?Safi
Hata bila corona
Kwa siku kawaida tanzania nzima hufa average ya watu 100- 2500
Huzaliwa average ya watu 3000-5500
Yaani hii ipo tu