Mhe. Mbowe, hongera sana. You are the best; ila acha uongo, uzushi na uchochezi. Kati yako na serikali nani mkweli? Vifo ni 16 tu

Mbowe na wabunge wa CHADEMA wamekimbia vita, na kwenda kujifungia ndani, hawa sio viongozi, badala ya kuongoza vita vya corona, wamekimbia, october tutawapiga chini wote
... kupigana vita bila hata panga mkononi huko nako ni kupigana vita au ni ujuha? Adui ana kila aina ya silaha, wewe hujajipanga na wala hujui ujipange vipi kazi kuomba michango halafu eti "unapigana vita"! Bullshit!
 
Wanabodi,

Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya kuchambua alichokisema kiongozi huyo wala what does it mean, the impact ya kilichozungumzwa, na the consequences. Kazi za media zetu ni kuripoti tu kama kasuku. Angalau sisi JF, ndio angalau tunafanya uchambuzi, alichofanya Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, ni a very good piece of news analysis ya hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa Ikulu ya Chato na update ya Corona iliyotolewa na Waziri Mkuu.

Mnyonge, mnyongeni, haki yake mpeni. Tangu kuingia kwa janga hili la Corona, sio tu hakuna kiongozi yoyote amewahi kuizungumzia Corona vizuri na kwa ufasaha kama Mhe. Freeman Mbowe, bali pia tangu nimemfahamu Mbowe na kumsikia, hajawahi kuzungumza vizuri hivi hata mara moja. Freeman, you are the best, hongera sana!

Ila sehemu moja tu ndiyo Mbowe ameharibu, kwenye idadi ya vifo vya Corona. Serikali ilishatoa waraka kuwa wasemaji wa update ya Corona kwa Tanzania ni watu 5 tu. Rais, Makamo, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya -- then update ya Corona itatolewa na serikali tu. Sasa kama Waziri Mkuu kasema vifo vya Corona ni 16 tu, then huu ndiyo ukweli. Tanzania watu waliokufa kwa Corona mpaka sasa ninapoandika hapa, ni watu 16 tu na huu ndio ukweli wenyewe.

Kitendo cha kumuita Waziri Mkuu wa JMT kuwa ni muongo na serikali inaficha data za vifo vya Corona, huu ni uongo na uchochezi.

Kati ya Mhe. Mbowe na Waziri Mkuu wa JMT, nani ni mkweli na nani ni muongo? Watanzania wamwamini nani kati ya Waziri Mkuu wa JMT na Waziri Mkuu kivuli?

Kama serikali imesema vifo ni 16 tu, then vifo ni 16, hata kama umeshuhudia watu 100 wakizikwa na serikali kwa mazishi ya kuhudhuriwa na watu kumi tu. Ukweli wa idadi ya vifo vya Corona ni vifo 16 tu kwasababu sio kila anayekufa amekufa kwa Corona. Hata kama hao wengine wote nao pia walionesha dalili kama za Corona, mamlaka pekee inayojua mgonjwa kafa na nini, ni madaktari tu. Na kwenye case ya Corona, waliokufa kwa Corona ni watu 16 tu, hawa wengine wote wanaokufa kwa matatizo ya kupumua, hayo ni matatizo yao tu, na pia wagonjwa wa magonjwa mengine pia wanaendelea kufa, ili kuzuia mikusanyiko katika misiba, serikali imeamua kuwakinga watu wake kwa kujitolea kuwasaidia Watanzania wengine wote kwa upendo kwa kuwazikia ndugu na wapendwa wao.

Hivyo Mhe. Mbowe, asante kwa kuongea vizuri ila uache uongo na uchochezi kuisingizia serikali yetu inaficha kitu, serikali yetu ni wakweli, hawafichi kitu, waliokufa kwa Corona mpaka sasa ni hao 16 tu, na huo ndio ukweli wetu, tena ni afadhali ya sisi tumetangaza ukweli wa wote waliokufa kwa Corona nchini kwetu ni hao 16 tu; je, ungekuwa unaishi Rwanda na Uganda, kule hakuna hata mmoja aliyekufa, ungesemaje?

Watanzania wenzangu ambao ni wazalendo, naombeni tuendelee kuiaminia serikali yetu kuwa inasema ukweli wote kuhusu Corona, tusiwasikilize, waongo, wazushi, wachochezi na wachonganishi wanaotaka kuichonganisha serikali na wananchi, kwa kuwadanganya kila anayekufa, amekufa kwa Corona, japo ni kweli vifo vya ghafla vimeongezeka, ila siyo vifo vyote ni Corona. Vifo vingine ni magonjwa mengine ukiwemo matatizo ya kupumua.

Tena katika kusisitiza uzalendo, nitawaomba kuanzia saa 1:30 asubuhi nitakuwa live Star TV mgeni wangu akiwa ni Deodatus Balile wa gazeti la Jamhuri, tutasisitiza uzalendo na kuiaminia serikali na sio kuwaaminia wazushi.

Paskali

Hoja ya msingi hapa ni muongo na mchochezi. Anataka kutumia hili janga kujipaisha kisiasa jambo ambalo sio zuri kabisa. Tutafuatilia star tv ili tupate nondo zaidi.
 
Wanabodi,

Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, Sii TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there!. Hakuna any news analysis ya kuchambua alichokisema kiongozi huyo wala what does it mean, the impact ya kilichozungumzwa, na the consequences, kazi za media zetu ni kuripoti tuu kama kasuku!. Angalau sisi JF, ndio angalau tunafanya uchambuzi, alichofanya Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, ni a very good piece of news analysis ya hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa Ikulu ya Chato na update ya Corona iliyotolewa na Waziri Mkuu.

Mnyonge, mnyongeni, haki yake mpeni!, tangu kuingia kwa janga hili la Corona, sio tuu hakuna kiongozi yoyote amewahi kuizungumzia Corona vizuri na kwa ufasaha kama Mhe. Freeman Mbowe, bali pia tangu nimemfahamu Mbowe, na kumsikia, hajawahi kuzungumza vizuri hivi hata mara moja!, Freeman, you are the best!, hongera sana!.

Ila sehemu moja tuu ndio Mbowe ameharibu, kwenye idadi ya vifo vya Corona!. Serikali ikiisha toa waraka kuwa wasemaji wa update ya Corona kwa Tanzania ni watu 5 tuu,
Rais, Makamo, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya, then update ya Corona itatolewa na serikali tuu!. Sasa kama Waziri Mkuu kasema vifo vya Corona ni 16 tuu, then huu ndio ukweli, Tanzania watu waliokufa kwa Corona mpaka sasa ninapoandika hapa, ni watu 16 tuu na huu ndio ukweli wenyewe!.

Kitendo cha kumuita Waziri Mkuu wa JMT kuwa ni muongo na serikali inaficha data za vifo vya Corona, huu ni uongo na uchochezi!.

Kati ya Mhe. Mbowe na Waziri Mkuu wa JMT, nani ni mkweli na nani ni muongo?!. Watanzania wamwamini nani kati ya Waziri Mkuu wa JMT na Waziri Mkuu kivuli?.

Kama serikali imesema vifo ni 16 tuu, then vifo ni 16, hata kama umeshuhudia watu 100 wakizikwa na serikali kwa mazishi ya kuhudhuriwa na watu kumi tuu, ukweli wa idadi ya vifo vya Corona ni vifo 16 tuu, kwasababu sio kila anayekufa, amekufa kwa Corona, hata kama hao wengine wote nao pia walionyesha dalili kama za Corona, mamlaka pekee inayojua mgonjwa kafa na nini, ni madaktari tuu, na kwenye case ya Corona, waliokufa kwa Corona ni watu 16 tuu, hawa wengine wote wanaokufa kwa matatizo ya kupumua, hayo ni matatizo yao tuu, na pia wagonjwa wa magonjwa mengine pia wanaendelea kufa, ili kuzuia mikusanyiko katika misiba, serikali imeamua kuwakinga watu wake kwa kujitolea kuwasaidia Watanzania wengine wote kwa upendo kwa kuwazikia ndugu na wapendwa wao.

Hivyo Mhe. Mbowe, asante kwa kuongea vizuri ila uache uongo na uchochezi kuisingizia serikali yetu inaficha kitu, serikali yetu ni wakweli, hawafichi kitu, waliokufa kwa Corona mpaka sasa ni hao 16 tuu, na huo ndio ukweli wetu, tena ni afadhali ya sisi tumetangaza ukweli wa wote waliokufa kwa Corona nchini kwetu ni hao 16 tuu, jee ungekuwa unaishi Rwanda na Uganda, kule hakuna hata mmoja aliyekufa!, ungesemaje?.

Watanzania wenzangu ambao ni wazalendo, naombeni tuendelee kuiaminia serikali yetu kuwa inasema ukweli wote kuhusu Corona, tusiwasikilize, waongo, wazushi, wachochezi na wachonganishi, wanaotaka kuichonganisha serikali na wananchi, kwa kuwadanyanya kila anayekufa, amekufa kwa Corona, japo ni kweli vifo vya ghafla vimeongezeka, ila sio vifo vyote ni Corona, vifo vingine ni magonjwa mengine ukiwemo matatizo ya kupumua.

Tena katika kusisitiza uzalendo, nitawaomba kuanzia saa 1:30 asubuhi nitakuwa live Star TV mgeni wangu akiwa ni Deodatus Balile wa gazeti la Jamhuri, tutasisitiza uzalendo na kuiaminia serikali na sio kuwaaminia wazushi!.

Paskali

Mkuu Pascal Mayalla hongera kwa bandiko zuri sana ILA niseme ungaliweza kumweleza kwa lugha ya KIUNGWANA Ndg Mbowe njia (lugha) ya KIUNGWANA ambayo angeweza kufikisha ujumbe wake kwa serikali sikivu ya JPM. Mkuu Pascal Mayalla kwa wewe kutumia lugha zile zile za karaha za Mbowe hujatoa somo lolote jema kwa waandishi wachanga. Mkuu Pascal Mayalla hebu niambie matumizi yako ya maneno kama tuwadharau, tuwapuuze, tusiwasikilize wale ............... zinahimiza kweli umoja wetu wa kitaifa? Mkuu Pascal Mayalla hizi lugha za "Wao" na "sie" kwanini tusiwachie Ndg zetu polepole, Dr. Bashiri na wa upinzani kuzitumia katika majukwaa yao ILI tuweze kuwa na ujasiri wa kuwakosoa pale wanapokosea kama ilivyotokea kwa Ndg Mbowe hivi majuzi.

Tukutane Star TV hapo baadaye,nina heshima kubwa kwa Ndg Balile kwa jinsi anavyofanya uchambuzi wake.

Ahsante
 
Kumbe kazi yako hapa dodoma ni kuhesabu wanaccm wangapi wamekufa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Eeee buana ligi ishakuwa ngumu kila mtu ashinde mechi zake hakuna namna..

Hao wapiga makofi kwa kila kitu ndo wametufikisha hapa tulipo leo,ngoja tuendelee na mahesabu tu Posho tamu sana kuahirisha/kutafuta altenative ya kuendesha shughuli za bunge nje ya mjengo ni gharama sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama serikali imesema vifo ni 16 tu, then vifo ni 16, hata kama umeshuhudia watu 100 wakizikwa na serikali kwa mazishi ya kuhudhuriwa na watu kumi tu. Ukweli wa idadi ya vifo vya Corona ni vifo 16 tu kwasababu sio kila anayekufa amekufa kwa Corona. Hata kama hao wengine wote nao pia walionesha dalili kama za Corona, mamlaka pekee inayojua mgonjwa kafa na nini, ni madaktari tu. Na kwenye case ya Corona, waliokufa kwa Corona ni watu 16 tu, hawa wengine wote wanaokufa kwa matatizo ya kupumua, hayo ni matatizo yao tu, na pia wagonjwa wa magonjwa mengine pia wanaendelea kufa, ili kuzuia mikusanyiko katika misiba, serikali imeamua kuwakinga watu wake kwa kujitolea kuwasaidia Watanzania wengine wote kwa upendo kwa kuwazikia ndugu na wapendwa wao.
Kuna watu wamekuwa wakituambia "...kama sio GT, huwezi kumwelewa Pasco"!!

Nami nakubaliana nao kwamba "kama sio GT huwezi kumwelewa Pasco wa JF kutokana na staili yake ya uandishi ingawaje pia mara zote nimekuwa nikiwaambia, "Pasco ni mwandishi mzuri wa sarcasm..."

Na kwavile ni mwandishi mzuri wa sarcasm, nawe ukiwa mzuri katika sarcasm/ utamwelewa tu Pasco ni wapi anaandika sarcasm kwa maana halisi ya sarcasm na wapi anaandika sarcasm huku akitaka watu waamini ni sarcasm kwavile ndivyo walivyomzoea kumbe kimsingi anamaanisha alichoandika"

Nasemaga hilo kwa sababu sarcasm ina elements zake!

Mara ya mwisho kuongelea hili ni jana, lakini nimemsahau member husika!

Ningemkumbuka ningemwambia aje kuusoma huu uzi ili ajue Pasco anapomaanisha sarcasm huwa anaandikaje!!

Anyway, na mimi kama ilivyo kawaida yangu, pengine lazima nikupinge na pengine nitakuunga tu mkono... kwahiyo nakubaliana na wewe Mheshimiwa Mbowe ni mwongo, mzushi na mfitinishi labda anayelenga kuleta machafuko kwa sababu ni kweli vifo ni 16 tu; haidhuru hata kama watu wameona malori yaliyojaa maiti zinazozikwa usiku wa manane!!
 
Huyu ni Msukuma Mbunge wa ccm akitoka kujifukiza na msuli wake.  unamwambia nini ( 800 X 640 ).jpg
 
Wanabodi,

Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya kuchambua alichokisema kiongozi huyo wala what does it mean, the impact ya kilichozungumzwa, na the consequences. Kazi za media zetu ni kuripoti tu kama kasuku. Angalau sisi JF, ndio angalau tunafanya uchambuzi, alichofanya Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, ni a very good piece of news analysis ya hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa Ikulu ya Chato na update ya Corona iliyotolewa na Waziri Mkuu.

Mnyonge, mnyongeni, haki yake mpeni. Tangu kuingia kwa janga hili la Corona, sio tu hakuna kiongozi yoyote amewahi kuizungumzia Corona vizuri na kwa ufasaha kama Mhe. Freeman Mbowe, bali pia tangu nimemfahamu Mbowe na kumsikia, hajawahi kuzungumza vizuri hivi hata mara moja. Freeman, you are the best, hongera sana!

Ila sehemu moja tu ndiyo Mbowe ameharibu, kwenye idadi ya vifo vya Corona. Serikali ilishatoa waraka kuwa wasemaji wa update ya Corona kwa Tanzania ni watu 5 tu. Rais, Makamo, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya -- then update ya Corona itatolewa na serikali tu. Sasa kama Waziri Mkuu kasema vifo vya Corona ni 16 tu, then huu ndiyo ukweli. Tanzania watu waliokufa kwa Corona mpaka sasa ninapoandika hapa, ni watu 16 tu na huu ndio ukweli wenyewe.

Kitendo cha kumuita Waziri Mkuu wa JMT kuwa ni muongo na serikali inaficha data za vifo vya Corona, huu ni uongo na uchochezi.

Kati ya Mhe. Mbowe na Waziri Mkuu wa JMT, nani ni mkweli na nani ni muongo? Watanzania wamwamini nani kati ya Waziri Mkuu wa JMT na Waziri Mkuu kivuli?

Kama serikali imesema vifo ni 16 tu, then vifo ni 16, hata kama umeshuhudia watu 100 wakizikwa na serikali kwa mazishi ya kuhudhuriwa na watu kumi tu. Ukweli wa idadi ya vifo vya Corona ni vifo 16 tu kwasababu sio kila anayekufa amekufa kwa Corona. Hata kama hao wengine wote nao pia walionesha dalili kama za Corona, mamlaka pekee inayojua mgonjwa kafa na nini, ni madaktari tu. Na kwenye case ya Corona, waliokufa kwa Corona ni watu 16 tu, hawa wengine wote wanaokufa kwa matatizo ya kupumua, hayo ni matatizo yao tu, na pia wagonjwa wa magonjwa mengine pia wanaendelea kufa, ili kuzuia mikusanyiko katika misiba, serikali imeamua kuwakinga watu wake kwa kujitolea kuwasaidia Watanzania wengine wote kwa upendo kwa kuwazikia ndugu na wapendwa wao.

Hivyo Mhe. Mbowe, asante kwa kuongea vizuri ila uache uongo na uchochezi kuisingizia serikali yetu inaficha kitu, serikali yetu ni wakweli, hawafichi kitu, waliokufa kwa Corona mpaka sasa ni hao 16 tu, na huo ndio ukweli wetu, tena ni afadhali ya sisi tumetangaza ukweli wa wote waliokufa kwa Corona nchini kwetu ni hao 16 tu; je, ungekuwa unaishi Rwanda na Uganda, kule hakuna hata mmoja aliyekufa, ungesemaje?

Watanzania wenzangu ambao ni wazalendo, naombeni tuendelee kuiaminia serikali yetu kuwa inasema ukweli wote kuhusu Corona, tusiwasikilize, waongo, wazushi, wachochezi na wachonganishi wanaotaka kuichonganisha serikali na wananchi, kwa kuwadanganya kila anayekufa, amekufa kwa Corona, japo ni kweli vifo vya ghafla vimeongezeka, ila siyo vifo vyote ni Corona. Vifo vingine ni magonjwa mengine ukiwemo matatizo ya kupumua.

Tena katika kusisitiza uzalendo, nitawaomba kuanzia saa 1:30 asubuhi nitakuwa live Star TV mgeni wangu akiwa ni Deodatus Balile wa gazeti la Jamhuri, tutasisitiza uzalendo na kuiaminia serikali na sio kuwaaminia wazushi.

Paskali

Paskali, Paskali, Paskali.
Wewe Paskali ni mchochezi.
But you are very good.
 
Simply huwezi kutangaza kila kifo kuwa kimesabishwa na kirusi cha korona kwa kuwa tu kuna janga la korona.
 
Naunga mkono hoja.

Serikali naiomba itangaze waliokufa kwa corona wale ambao wamethibitika kuwa hawata ugonjwa wala tatizo lingine la kiafya zaidi ya corona.

Yani mtu kama akianguka ghafla puu akapimwa akaonekana ana presha,kisukari lakini pia ana corona alafu baadae akifa asitiwe kwenye idadi ya waliokufa na corona kabisa huyu.huyu kafa kwa magonjwa mengi asisingiziwe corona.huyu atiwe kwenye vifo vya kawaida na azikwe na dola kuepusha maambukizi kama inavyofanya.

Kumzika serilali na watu 10 haina maana kuwa kafa kwa corona,hiyo ina maanisha kuwa kafa kww magonjwa mengi ila tunazuia corona ambayo nayo ilikuemo isije kusambaa kwa wengine.

Mtu kama mzee pascall hapo au mimi ikiwa tunayo corona sasa alafu Mungu akituchukua ghafla alafu vipimo vyetu vikawa havina ushahidi wa magonjwa mengine yeyote zaidi ya corona,hapo sasa ni wakati Muafakawa kusema kuwa huyu sasa ndio kafa kwa corona.

Sio eti hata bodaboda akianguka na pikipiki akafa akafanyiwa vipimo akakutwa na corona ati useme corona imemuuwa,huyu kafa kwa ajali na sio vinginevyo.

Mtu ana presha ,mtu ana kisukari mtu ana ukimwi,alafu leo korona inamvaa nayo kesho hayupo unaanza oooh kafa kwa korona,mbona kisukari na presha hamuioni pale mwilini na alikuwa nayo bwwna.

Watu kufa na kuzikwa na serikali haina maana kuwa yote ni misiba ya corona,pengine wengi wao wana magonjwa mengine mengi lakini na hii pia walikuwa nayo kwa hiyo wanazika wenyewe kwa sababu alikuwa na corona na sio kwa sababu alikufa kwa corona..
 
Simply huwezi kutangaza kila kifo kuwa kimesabishwa na kirusi cha korona kwa kuwa tu kuna kanga la korona.
Watu wanaona na wanaishi nao hawo ndugu wenyewe sasa serikali inaficha nini. Na uongo vifo ni vingi sema unafiki wenu.

Sasa corona imeshatua kwenu(lumumba) huko na inawauwa balaa.

Tatizo lenu kila kitu mnakichukulia kiushabiki alipoumwa mtoto wa Mbowe mlikuja na makejeli kibao ukiwemo wewe.

Hamuwezi kuficha ukweli na kila mmoja anaona.

Hivi unategemea serikali ambayo imeshazoea kuficha ukweli itakwambia ukweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paskali, Paskali, Paskali.
Wewe Paskali ni mchochezi.
But you are very good.
Aisifiae mvua imemnyea.

Mbowe anaiongelea CDC kama vile nimmuarobaini WA corona wakati CDC ndiyo chanzo cha matatizo.

Mbowe mashine zinatafutwa na zimepatikana zinakuja.

Huwezi kuzibadili mashine za kupimia maradhi mengine wakati huu na kuwacha kupima maradhi mengine kwa ajili tu uongeze figures za kuwa una waathirika wengi wa COVID-19.

Mashine zinazopima mengine ziachwe zipime mengine.

Huyu anabwaja na kuhororoja yale yale ambayo tayari yanfanyika na zaidi.

Naona Mbowe anatafuta pakutokea tu kisiasa. Simshangai.
 
Watu wanaona na wanaishi nao hawo ndugu wenyewe sasa serikali inaficha nini. Na uongo vifo ni vingi sema unafiki wenu.

Sasa corona imeshatua kwenu(lumumba) huko na inawauwa balaa.

Tatizo lenu kila kitu mnakichukulia kiushabiki alipoumwa mtoto wa Mbowe mlikuja na makejeli kibao ukiwemo wewe.

Hamuwezi kuficha ukweli na kila mmoja anaona.

Hivi unategemea serikali ambayo imeshazoea kuficha ukweli itakwambia ukweli?

Sent using Jamii Forums mobile app

Binadamu hamna wema kabisa nyie.

Mkiambiwa wamekufa watu 16 mnaswma mnafichwa.

Mkiambiwa wamekufa watu 100 kila mmoja anasema sio kila kifo ni corona swrikali inafanya hivyo kutaka fungu lije wapige pesa,sijui pesa gani kabisa.

Muambiwe nini enyi watu.

Kwani kama wamekufa watu mia moja mkuu unadhani wewe utafaidika na nini ?

Au italeta faida gani kwa kufa watu mia faida ambayo haiwezekani kuletwa na hawa watu 16 waliotangazwa mkuu ?
 
Watu wanaona na wanaishi nao hawo ndugu wenyewe sasa serikali inaficha nini. Na uongo vifo ni vingi sema unafiki wenu.

Sasa corona imeshatua kwenu(lumumba) huko na inawauwa balaa.

Tatizo lenu kila kitu mnakichukulia kiushabiki alipoumwa mtoto wa Mbowe mlikuja na makejeli kibao ukiwemo wewe.

Hamuwezi kuficha ukweli na kila mmoja anaona.

Hivi unategemea serikali ambayo imeshazoea kuficha ukweli itakwambia ukweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Corona hayupo Lumumba Tu wala hachaguwi mtaa. Alianzia Ufipa kama umesahau.

Hili ni janga la duniani si Tanzania pekee.

Ninachokiona ni upinzani unataka kutumia hili janga nkama turufu ya kisiasa. Ni ujinga Tu, Watanzania tupo macho na tunaelewa kinachoemdelea ndani na nje ya nchi.

"Corona" hazuiliwi kwa maneno.
 
Andika vizuri una haraka gani?
 
Back
Top Bottom