Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Ili uwafunge goli wabaya wako. Tuanze upya kwani sasa unajua urais ni zaidi ya ving'ora na saluti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili uwafunge goli wabaya wako. Tuanze upya kwani sasa unajua urais ni zaidi ya ving'ora na saluti.
nimecheka saana kwenye red hapoUnamwongelea JK huyu huyu au mwingine, "a born again President JK"? Kwa maamuzi yapi aliyofanya kwenye historia yake yanakushawishi kumpatia huu ushauri? Mimi naona unamtumia pongezi kwamba mambo yake mazuri sana kwa njia ya kuzunguka. Vinginevyo uteme mate chini!
Nimeipenda hii statement. Hii miaka minne ya utawala wa JK imekuwa migumu sana maana kashfa zimepamba karibu kila safu ya uongozi.Na kwa bahati mbaya karibu wengi waliokuwa karibu nae wakawa wahusishwa kwa namna mbalimbali. Kwa kiongozi kwenye mazingira yale kuchukua u-turn imekuwa ngumu sana. Kama anaonyesha nia ya kuthubutu, twamuombea kila la kheri.Yote yanawezekana kama nia ipoIli uwafunge goli wabaya wako. Tuanze upya kwani sasa unajua urais ni zaidi ya ving'ora na saluti.
Akifanya hivyo goli atafungwa yeye kwa sababu huko nje hajajipanga sawasawa na anajua adui zake are very flexibleIli uwafunge goli wabaya wako. Tuanze upya kwani sasa unajua urais ni zaidi ya ving'ora na saluti.
Kwa sasa atafumba macho akijuaa kuwa atawabeba hadi apate second term ale vzr kwa kukomba...atoke...hana jipya masha ameharibu kazi vitambulisho amekaliaa.,.....hatoi kitu sababu kampuni yake haimo.....anakwamisha mambo yote ya watu mil 40...sababu ujinga wake bado anamchekeaa......muache aendelee kucheka cheka...ck moja akiwa kisutu tutamtaka acheke cheke nae muace akitoka labd a aondoke tz
tatizo la serikali ya JK na yeye mwenyewe ni kuwa katumia muda mwingi kufukua vimeo vya Mkapa na wenzake akashahau kuwa 5 years sio nyingi sasa akivunja baraza ndo kabisaaaaaaaaaaaa anajipalia makaa ya moto..he is not strong enough to withstand the shocks
Hivi kwani hii nchi ina Baraza (la Mawaziri) na Bunge (la Jamuhuri ya Muugano wa Tanzania)?
Mimi nadhani tuna Chama Tawala ambacho ndiyo Baraza na Bunge.
Akifanya hivyo goli atafungwa yeye kwa sababu huko nje hajajipanga sawasawa na anajua adui zake are very flexible
Kama Ngeleja alivyochaguliwa kwa kuangalia sura,si haba hata huyu masha ni sura iliangaliwa ndio maana anachekewa mpaka leo!
Baraza la mawaziri ni makada wa chama! Bunge limejaa chama! Hivyo akivunja vyote maana yake amekosa kudhibiti yote mawili.Hana ushawishi tena. Hivyo avunjapo maana yake anakiri kosa. Kwamba hawezi nchi, kwamba ameshindwa, kwamba na chama chake kimeshindwa. Huyu nimjuae mimi, HAWEZI!!!!!!!!!!!!