Mhe. Samia Suluhu Hassan awakaribisha mabalozi wapya na kupokea Hati zao............ #wote wanaishi Kenya!!

Mhe. Samia Suluhu Hassan awakaribisha mabalozi wapya na kupokea Hati zao............ #wote wanaishi Kenya!!

YoungD

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,275
Reaction score
1,332
Yaani tanzagiza huwa full vituko. hivi mbona hawa mabalozi wote hawawezi ishi hapo fishing village?? sasa ina maana baada ya kuwasilisha Hati zao, walirudi moja kwa moja hadi Nairobi.


1630341169373.png


cc MK254 Nairoberry KENPAULITE Tony254 Kafrican
 
Mabalozi wenzao WA EU wako kisutu mahakamani kusikiliza kesi ya ugaidi. Neno" UGAIDI" ninashauri litangazwe na waziri WA mambo ya ndani ya nchi kama ilivyo Kwa mujibu WA Sheria,Ila tulikofikia Kila RPC anatanza ameshika magaidi. Huko Tanzania hakuna kitengo Cha NCTC Cha kulisaidia na kulielimisha jeshi la polisi kuhusu ugaidi?
 
Yaani tanzagiza huwa full vituko. hivi mbona hawa mabalozi wote hawawezi ishi hapo fishing village?? sasa ina maana baada ya kuwasilisha Hati zao, walirudi moja kwa moja hadi Nairobi.


View attachment 1916900

cc MK254 Nairoberry KENPAULITE Tony254 Kafrican
Wanajua jiji gani lina hadhi ya jiji. Sasa hapo Dar es Salaam hata mitaa yenye hadhi kama Oyster Bay haina barabara za lami wakati Mitaa ya Kawaida Kenya kama South C kila Barabara ina lami unategemea nini? 🤣 🤣
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana. kutwa/ kucha hakuishi vituko....
 
Pamoja na Utanzania wangu,
Ni ushabiki wa kipuuzi na kitoto, kuona mijitu zero brain inashupaza kulinganisha TZ na Kenya
Ukweli ni tuko nyuma sana tena sana
Tuanzie thamani ya fedha za Madafu kwa Kenya shillings..............
 
Hivi Nairobi na Dodoma kuna tofauti gani? Kijiografia zote zipo katikati ya nchi
 
SSH angewapokea Dodoma makao makuu, sio bandari salama - Aibu!
 
we can argue and bicker all day everyday but things like these are a clear reminder that Kenya is the big brother in this region

the only reason those countries want to have Kenya as the base of operations is because Kenya is a transportation hub, has superior ICT infrastructure, superior economy, better diplomatic policies, and overall better connectivity to the world than Tanzania.
 
Hehehe!! Nimecheka sana kwa kweli, kuna mambo mengine yaani tu....
 
Back
Top Bottom