Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,209
- 2,243
Hakuna maajabu apo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni mTanzania mjinga tu usijua lolote kuhusu our great country unakuja kuungana na viande wa [emoji1139] na story zenu za vijiweni. Alafu unaezakuta hata sio mTz ni mkennya unajifanya mTz[emoji28][emoji28][emoji28].Pamoja na Utanzania wangu,
Ni ushabiki wa kipuuzi na kitoto, kuona mijitu zero brain inashupaza kulinganisha TZ na Kenya
Ukweli ni tuko nyuma sana tena sana
Tuanzie thamani ya fedha za Madafu kwa Kenya shillings..............
OK.. uko macho mporiporiWe ni mTanzania mjinga tu usijua lolote kuhusu our great country unakuja kuungana na viande wa [emoji1139] na story zenu za vijiweni. Alafu unaezakuta hata sio mTz ni mkennya unajifanya mTz[emoji28][emoji28][emoji28].
Hiki kiswahili cha wapi? we ni mtanzania au wa kuchovya? .........Alafu unaezakuta hata sio mTz ni mkennya unajifanya mTz
Sijaja kuimba taarabu apa chief!!!OK.. uko macho mporipori
Nilijua mtakuja nyie zero brain...
Swali: una passport?
Swali:umeshawahi kutoka nje Tanzania?
Ni hivi utaijua nchi yako hiyo unayoiita great country only if kama umewahi kutoka nje ya nchi yako ya wala vumbi...
Zaidi ya hapo endelea kuimba mapambio mliofundishwa shule ya msingi........
Hiki kiswahili cha wapi? we ni mtanzania au wa kuchovya? .........
hizo balozi hazikuwepo Tz, ndio wana anza uhusiano na Tz, walishakuwepo Nairobi, sisi hatuna hao mabalozi sababu we are, have been a non aligned nation.Wanajua jiji gani lina hadhi ya jiji. Sasa hapo Dar es Salaam hata mitaa yenye hadhi kama Oyster Bay haina barabara za lami wakati Mitaa ya Kawaida Kenya kama South C kila Barabara ina lami unategemea nini? [emoji1787] [emoji1787]
Hivi wewe una kichaa? Mtakuwaje na balozi bila ubalozi? The embassy has to e established before the ambassador is sent. Usijilete kwa mijadala huelewi.hizo balozi hazikuwepo Tz, ndio wana anza uhusiano na Tz, walishakuwepo Nairobi, sisi hatuna hao mabalozi sababu we are, have been a non aligned nation.
Wali anza na kwenu sababu your English lifestyle and western influence was huge back then, mnapaswa anza kuogopa wanavojileta Tz, Israel ilikuwa ivyo ivyo, akatambulishwa balozi aliekuwa kwa office ya ubalozi wao Kenya, akawa anaishi Kenya, later wakafungua ya kwao Tz, now wanaishi Tz.
Nashangaa ni nini kinawajaza vichwa vyenu.
Duh, kuna lots of cases duniani, balozi yupo ila ubalozi hata balozi mwenyewe, haupo kwenye nchi husika, hii hutokea kwa nchi jirani sanasana, case ya Israel mfano, they had ubalozi and balozi with his staffs in Kenya, serikali yao kule kwao ikaamua kuanzisha uhusiano na Tz, lazima awaconsult wa Nairobi kwanza, na sababu ya ugeni huprefer kuelect from the said embassy office, balozi atakayekaimu whilst the process is ongoing, mfano mwingine, Tz tuko katika processes za kuhamia dodoma, kuna balozi zimeshahamia kuna ambazo bado, so kuhama kwa capitals pia ni vitu huchangia mambo kama ayo, it's 21st century guys, si lazima kuwepo na li building mahali ndio kuwepo na office.Hivi wewe una kichaa? Mtakuwaje na balozi bila ubalozi? The embassy has to e established before the ambassador is sent. Usijilete kwa mijadala huelewi.
Dude, in instances where Tanzania doesn't have an embassy of a certain country, they can USE THE KENYAN EMBASSY. That's a different case - you have no embassy, no ambasssdor hence you are served by the KENYAN AMBASSADOR. Note, KENYAN AMBASSADOR. Hamuwezi kuwa na ambassador bila embassy.Duh, kuna lots of cases duniani, balozi yupo ila ubalozi hata balozi mwenyewe, haupo kwenye nchi husika, hii hutokea kwa nchi jirani sanasana, case ya Israel mfano, they had ubalozi and balozi with his staffs in Kenya, serikali yao kule kwao ikaamua kuanzisha uhusiano na Tz, lazima awaconsult wa Nairobi kwanza, na sababu ya ugeni huprefer kuelect from the said embassy office, balozi atakayekaimu whilst the process is ongoing, mfano mwingine, Tz tuko katika processes za kuhamia dodoma, kuna balozi zimeshahamia kuna ambazo bado, so kuhama kwa capitals pia ni vitu huchangia mambo kama ayo, it's 21st century guys, si lazima kuwepo na li building mahali ndio kuwepo na office.
You guys bhana [emoji23]
eeh kwa kweli.....😂😂😂😂 hata mie nakusapoti kabisa UAE pesa yao inathamani kuliko us$ so USA ni wapumbavu hawajaendela kama UAEPamoja na Utanzania wangu,
Ni ushabiki wa kipuuzi na kitoto, kuona mijitu zero brain inashupaza kulinganisha TZ na Kenya
Ukweli ni tuko nyuma sana tena sana
Tuanzie thamani ya fedha za Madafu kwa Kenya shillings..............
Tatizo kenya wanaamini watz hatuwezi kuishi bila waoPamoja na Utanzania wangu,
Ni ushabiki wa kipuuzi na kitoto, kuona mijitu zero brain inashupaza kulinganisha TZ na Kenya
Ukweli ni tuko nyuma sana tena sana
Tuanzie thamani ya fedha za Madafu kwa Kenya shillings..............
Kenya has a bigger GDP than Tanzania. The GDP of Uganda plus that of Tanzania, equals that of Kenya. Kenya is our big brother in East Africa.we can argue and bicker all day everyday but things like these are a clear reminder that Kenya is the big brother in this region
the only reason those countries want to have Kenya as the base of operations is because Kenya is a transportation hub, has superior ICT infrastructure, superior economy, better diplomatic policies, and overall better connectivity to the world than Tanzania.
we all have our different strengths it just sucks that we can't pull that together and better ourselves instead we're bogged down by petty bickering......SO SAD!Kenya has a bigger GDP than Tanzania. The GDP of Uganda plus that of Tanzania, equals that of Kenya. Kenya is our big brother in East Africa.
Hapo balozi wa maana ni moja tu ndio nimeumia(Australia) hao wengine wabaki tu huko kenya.Yaani tanzagiza huwa full vituko. hivi mbona hawa mabalozi wote hawawezi ishi hapo fishing village?? sasa ina maana baada ya kuwasilisha Hati zao, walirudi moja kwa moja hadi Nairobi.
View attachment 1916900
cc MK254 Nairoberry KENPAULITE Tony254 Kafrican
Haaahaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣eeh kwa kweli.....😂😂😂😂 hata mie nakusapoti kabisa UAE pesa yao inathamani kuliko us$ so USA ni wapumbavu hawajaendela kama UAE
Achana na hao nyumbu hawajui kwamba Huwezi kua na ubalozi kwenye nchi bila wao kureciprocatehizo balozi hazikuwepo Tz, ndio wana anza uhusiano na Tz, walishakuwepo Nairobi, sisi hatuna hao mabalozi sababu we are, have been a non aligned nation.
Wali anza na kwenu sababu your English lifestyle and western influence was huge back then, mnapaswa anza kuogopa wanavojileta Tz, Israel ilikuwa ivyo ivyo, akatambulishwa balozi aliekuwa kwa office ya ubalozi wao Kenya, akawa anaishi Kenya, later wakafungua ya kwao Tz, now wanaishi Tz.
Nashangaa ni nini kinawajaza vichwa vyenu.
Hope Bulgarians will feel jealous on Germans lol kosa mali upate akili, wakunya mali wamekosa na akili pia 😅😅😅Muwe pia mnaangalia na nchi zenyewe zenye balozi zake nje ya Tanzania.
😆 😆