Hii nchi ina shida sana. TZ is a complete basket case.Yaani tanzagiza huwa full vituko. hivi mbona hawa mabalozi wote hawawezi ishi hapo fishing village?? sasa ina maana baada ya kuwasilisha Hati zao, walirudi moja kwa moja hadi Nairobi.
View attachment 1916900
cc MK254 Nairoberry KENPAULITE Tony254 Kafrican
Unakumbuka yule balozi mganda mwenye pia alikataa kutoka Nairobi? Alisema yeye haezitoka Nairobi juu bado ni kutamu 😂Hii Kenya hii ukanda huu ni kama maji jombaa, usipoyanywa bila shaka lazima utayaoga.
Wanajua jiji gani lina hadhi ya jiji. Sasa hapo Dar es Salaam hata mitaa yenye hadhi kama Oyster Bay haina barabara za lami wakati Mitaa ya Kawaida Kenya kama South C kila Barabara ina lami unategemea nini? 🤣 🤣Yaani tanzagiza huwa full vituko. hivi mbona hawa mabalozi wote hawawezi ishi hapo fishing village?? sasa ina maana baada ya kuwasilisha Hati zao, walirudi moja kwa moja hadi Nairobi.
View attachment 1916900
cc MK254 Nairoberry KENPAULITE Tony254 Kafrican
Ongeza wa Somalia, Burundi na Sudan Kusini.🤣Unakumbuka yule balozi mganda mwenye pia alikataa kutoka Nairobi? Alisema yeye haezitoka Nairobi juu bado ni kutamu 😂
Kuna vingine inabiidi tuwe tunauchuna tuYaani tanzagiza huwa full vituko. hivi mbona hawa mabalozi wote hawawezi ishi hapo fishing village?? sasa ina maana baada ya kuwasilisha Hati zao, walirudi moja kwa moja hadi Nairobi.
View attachment 1916900
cc MK254 Nairoberry KENPAULITE Tony254 Kafrican
Yaani wee acha tu...mengine yaani tu....
Nje ya mada....SSH angewapokea Dodoma makao makuu, sio bandari salama - Aibu!