Mhe Temba alikuwa JWTZ au JKT?

Yes, nakumbuka afende wetu mmoja aliwahi kutuambia hivyo, na alikuwa hazipendi kabisa.
Ila kwa kufundishia makuruta tu,jinsi ya kutumia silaha.
kwenye Route Match nyingi zilichukuliwa U kwenye ile ''Funga Mkanda''..........
 
Huyu Temba anapenda sana kujikosha kuwa alikuwa jeshini kumbe ni jkt
Michael issamuhyo unamfaham? Huyo ni mkuu wa jeshi la kujenga taifa la Tanzania , kama unahisi kwamba sungusungu /mgambo ni jeshi basi na wewe tufahamishe hapa mkuu wa sungusungu Tanzania ni nani??
 
Michael issamuhyo unamfaham? Huyo ni mkuu wa jeshi la kujenga taifa la Tanzania , kama unahisi kwamba sungusungu /mgambo ni jeshi basi na wewe tufahamishe hapa mkuu wa sungusungu Tanzania ni nani??
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…