white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,321
- 2,488
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo genta kaangukia pua![]()
soma hapo
G3 Kwa kumiss fire ndiyo zenyewe............
kwenye Route Match nyingi zilichukuliwa U kwenye ile ''Funga Mkanda''..........Yes, nakumbuka afende wetu mmoja aliwahi kutuambia hivyo, na alikuwa hazipendi kabisa.
Ila kwa kufundishia makuruta tu,jinsi ya kutumia silaha.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Ile kitu haifaiG3 Kwa kumiss fire ndiyo zenyewe............
Michael issamuhyo unamfaham? Huyo ni mkuu wa jeshi la kujenga taifa la Tanzania , kama unahisi kwamba sungusungu /mgambo ni jeshi basi na wewe tufahamishe hapa mkuu wa sungusungu Tanzania ni nani??Huyu Temba anapenda sana kujikosha kuwa alikuwa jeshini kumbe ni jkt
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji122]Michael issamuhyo unamfaham? Huyo ni mkuu wa jeshi la kujenga taifa la Tanzania , kama unahisi kwamba sungusungu /mgambo ni jeshi basi na wewe tufahamishe hapa mkuu wa sungusungu Tanzania ni nani??