Wanabodi,
Leo nimepata fursa ya kuliangalia bunge live asubuhi hii kupitia TBC-1,
Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda ameshindwa kabisa kuliendesha bunge!, amepwaya sana na ameendesha kika bila confidence kabisa na mwisho wa maelezo yake, akamtaja Mhe. Tundu Lissu kama ndiye mbunge anayeongoza kwa kuleta vurugu bungeni, na Lissu aliponyanyuka kuomba muongozo wa Spika, akamvurumishia tena Spika Makombora mazito, na kama angeendela kidogo tuu!, Spika Makinda ange break down kwa machozi!. (Naamini akifika ofisini kwake, atajifungia kidogo na kuimalizia hasira yake the same way wanawake wote wanamalizaga hasira zao!.
Kwa kuzingatia sifa kuu iliyomfanya Mhe. Mama Makinda kuchaguliwa kuwa spika, huku Mhe. Tundu Lissu akiujua fika uwezo wa Madam Spika, kwanini anaendelea kumsulubisha kila apatapo fursa?!. This is not fair!.
Kwa vile Mama Makinda amepewa uspika because she is a lady, kwa uzi huu, namuomba Mhe. Tundu Lissu na wabunge wengine wa Kambi ya Upinzani, wanapokuwa na hoja za msingi, wamuaddress Madam Spika with courtesy of addressing a lady, ili ku restore confidence yake kuliendesha bunge ambapo kwa sasa, ameshindwa kabisa, amezuia hoja zote binafsi, hivyo leo bunge limekutana asubuhi tuu kwa kipindi cha maswali na majibu na kuahirishwa, natumaini kesho na keshokutwa itakuwa vivyo hivyo!, huu ni ufujaji bure wa rasilimali za Taifa!.
Nawauliza wajameni, hivi hiki anachofanya Mhe. Lissu na wabunge wengine wa upinzani, kumsubulu Madam Spika ambaye ni mwanamke bila huruma, ni sawa kweli?!.
Kiafrika, wanawanake ni ni watu wa kubembelezwa na kuonewa huruma!, hivi hawa wabunge wa upinzani ni watu wa aina gani wasio hata na huruma kwa wanawake?!, leo ilibakia kidogo tuu madam spika angelia!, jee hiki wanachofanya ni sawa kweli?!. Ni haki?!.
Nawaombeni tumtendee haki Spika wetu aendesha bunge kwa haki na kujiamini!.
Pasco.
Mkuu mbona leo unachelewa sana kuelewa?
Upo ok mkui wangu??

Ulichoongea pakajimmy kina ukweli kwa asilimia 100, waliomwingiza huyo mama yetu kwenye hicho kiti cha moto wameingia mitini!! Sasa wamemwacha mama wa watu anasulubiwa vilivyo n'a kina Lissu n'a Mnyika, saizi yake aipate hiyo adhabu ya usaliti, n'a yeye aliwezaje kuwakubalia kina Rostam kuhusu mpango wao mwovu wa kumng'oa Sitta?!Pole sana mama Makinda.
Huko ndiko kutumika ulikokubali, sometimes you hv to pay the price, and it might be against yr will.
-Where is Andrew Chenge, when u need him deadly!
-Where is Rostam Aziz when u are starving to see him!
Jikaze mama, ukilia utaniliza.
Sasa ulikuwa na ulazima gani wa kuyaandika haya yote wakati hujui hata kinachojadiliwa hapa, kama si kujivunjia heshima mtu mzima ni kitu gani? tabia hizi za kijinga ndizo zinazowaponza Wabunge wa CCM yani wanaongea halafu ndio wanafikiri badala ya kufikiri kwanza halafu ndio waongee.Hamumjui Anne Makinda, muulizeni Mzee Six.
Ingawa sijakiona hicho mnacho kielezea lakini nna uhakika kama Tundu anafanya ujeuri kwa huyo mama basi aelewe kuwa anajigeuza pweza kujipalilia mkaa mwenyewe. Ataipatapata.
InshaAllah usiku ntatazama marudio kupitia Star TV halafu ntakuja kutoa mtazamo wangu.
Sasa ulikuwa na ulazima gani wa kuyaandika haya yote wakati hujui hata kinachojadiliwa hapa, kama si kujivunjia heshima mtu mzima ni kitu gani? tabia hizi za kijinga ndizo zinazowaponza Wabunge wa CCM yani wanaongea halafu ndio wanafikiri badala ya kufikiri kwanza halafu ndio waongee.