Yeye ana maziwa Tena mazuri tu lakini kwa sababu za ushamba anataka amlishe dogo maziwa ambayo yametengenezwa Ulaya. Hivi unafikiri MABEBERU wanakutakia mema.
Processed food zao zote wanafanyia majaribu kwa ma zombie wa Africa at a profit. Baadae mtoto anakuja kuwa bonge akiwa darasa la pili kwa sababu ya ushamba wa mama mtu.
Siku hizi kwenye shule za English medium Kuna mitoto mibonge mingi kwa sababu ya lishe wanazopewa na wamama washamba wanaodhani kila Cha Ulaya Ni Bora.
Ukiona huna maziwa kifuani kwa sababu za kiafya, mpe dogo maziwa ya ASAS au TANGA FRESH