Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Sitaki kuweka neno ila ndio hivyo kama mnavyoona kwenye picha hapa. Sijuwi Mheshimiwa alikuwa anafanyiwa nini .
Si unajuwa Tanzania mambo mengi mpaka wananchi wanachanganyikiwa na kushindwa washike nini na waache nini.
Ukigeuka huku unakutana na habari hii,ukienda kule unakuta vile,ukitazama mbele unaona vile. .kikubwa ni wewe uchague cha kutizama na uwe na misimamo yako binafsi.
Alichoandika Kigwangala kuhusiana na picha hii
Kigwangala kupitia X:
Ndugu wapendwa Gen Zee, salaams.
Napenda kuwafahamisha ya kwamba hili vazi siyo uchawi! Wala uganga. Ni vazi la kimila; yanaitwa Masunzu, ama Nsunzu, ama nyie waswahili mnaita rasta.
Kwa mila na desturi zetu huvaliwa na warriors wanaitwa Sungusungu! Hawa ni askari wa jadi.
Wanaume wanavaa makubwa na yenye nakshi nzuri zaidi ya wanawake. Mjue kuwa hizo rasta zilizaliwa huku.
Ahsanteni sana.
Wakatabahu,
HK.