OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Aliyemuelewa huyu mheshimiwa Babu Tale meneja wa Wasafi ambaye kwa sasa ni mbunge,aeleweshe na wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu Tale alifaa kuwa Chadema na akina Sugu!
Hahahaaaa..........!Unafuta comparison? Na bado mwaka huu kila mbunge utamfananisha mpka na Mabutu wa Congo,
Tale na Sugu unafananisha mlima kilimanjaro na Kichunguu
Tale ni kichunguu achana na moto wa sugu!! Na bado
Magufuli ndiyo anapenda hawa sasa. Kwa hawa humwambii kitu. Atakuambia ''wanachapa kazi''. Ohoo nchi yangu inaangamizwa na mtu mmoja. Standard wanazo-set hata manyani yatajiona yana haki ya kuchaguliwa kuingia bungeni. Kuja kutoka kwenye hili zimwi la awamu hii itachukuwa muda na dedication ya hali ya juu.View attachment 1695799
Aliyemuelewa huyu mheshimiwa Babu Tale meneja wa Wasafi ambaye kwa sasa ni mbunge,aeleweshe na wengine
😆😆naona nyumbu mnaanza kujikanaBabu Tale alifaa kuwa Chadema na akina Sugu!
Hizi ndizo akili sahihi za ccm, tulishaambiwa wanaoishabilia ccm ni la 7BView attachment 1695799
Aliyemuelewa huyu mheshimiwa Babu Tale meneja wa Wasafi ambaye kwa sasa ni mbunge,aeleweshe na wengine
Ccm inapemda wabunge wajinga jinga hivi na wanaojua kusifiaAlaaniwe aliyetunga sheria kuwa Sifa ya Mbunge ni Kujua kusoma na Kuandika tu
Wakati huo huo kazi yao mama ni Kutunga sheria.
Yaani mtu mwenye sifa ya kujua kusoma na Kuandika ( Hata akiwa darasa la pili) anapewa majukumu ya kutunga sheria za Nchi?? Huku akilipwa milioni 11 kwa mwezi, sawa na shilingi 360,000 kwa siku.
Huku mtaani wasomi wakiachwa bila ajira[emoji119][emoji119]
Huyu mtu nikikutana naye mbinguni nitaomba nipewe kazi ya kusogeza mkaa kwa ajili ya moto wake.
Very disgusting [emoji134]
Angekuwa chadema huenda angepewa nafas ya kugombea uenyekiti wa mtaa maana ndo level yake, akiwa ccm si ajabu akateuliwa kugombea urais 2025 kama meko ataachia, kama iliwezekana jiwe kuteuliwa kwani kamuacha wapi babu taleBabu Tale alifaa kuwa Chadema na akina Sugu!
Ili wakija na agenda ya mitano tena isipate wa kuwapinga.Ccm inapemda wabunge wajinga jinga hivi na wanaojua kusifia
Hilo ndilo tatizo. Unakuwa kilaza halafu unataka kuongea 🤣🤣🤣View attachment 1695799
Aliyemuelewa huyu mheshimiwa Babu Tale meneja wa Wasafi ambaye kwa sasa ni mbunge,aeleweshe na wengine
Na huo ndo mtaji wao kuwa na wabunge wenye poor reasoning ili waweze kuwatumia kama wanavyotaka kubadili mambo ya msingi kuwa ya kipumbavu (wanakwambia RAIS aongezwe muda hadi achoke mwenyewe)!Ccm inapemda wabunge wajinga jinga hivi na wanaojua kusifia