Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Tuliikata rasimu ya katiba ya Jaji Warioba. Wa aina kama hizi ndiyo waliongoza kuikataa kwa sababu waliona ikija ile katiba jinsi ilivyokua imeandaliwa, ingewaengua kama siyo kukiengua chama chakavu chenyewe.Yaaani sisi tuna utani, yaani tunachukua mtu anayejua kusoma na kuandika basi afu kiswahili, afu huyo ndo anaenda kua mtunga sheria bunguni tena sheria zinaandikwa kwa kiingereza