Mheshimiwa Babu Tale mitano tena

Na huo ndo mtaji wao kuwa na wabunge wenye poor reasoning ili waweze kuwatumia kama wanavyotaka kubadili mambo ya msingi kuwa ya kipumbavu (wanakwambia RAIS aongezwe muda hadi achoke mwenyewe)!

Awamu ya tano tumepigwa pakubwa sana.
Mungu atuvushe Salama
 
View attachment 1695799

Aliyemuelewa huyu mheshimiwa Babu Tale meneja wa Wasafi ambaye kwa sasa ni mbunge,aeleweshe na wengine
[emoji109] Tena tutaelewana tukifika huko mbele kama daladala unalipia ukishuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hongera kwa Josephat Gwajima kaanza vizuri kwa kutoa fact !!!

Jamaa ni mjanja sana kaweka fact mapema ili msije kumdai barabara [emoji1787][emoji1787][emoji1787] siasa bana !!!
 
Kuna mambo hayaitaji mishentaun ujanja ujanja kaangukia pua
 
Tueleze umemuelewa vipi? Siyo kukopi tu.... Hao ndiyo wabunge tuliowataka. Hata wenyewe humo ndani lazima washangaane.

Kidumu chama cha mapinduzi
 
Babu Tale alifaa kuwa Chadema na akina Sugu!
Hivi kweli kutoka nafsi ya moyo wako unaweza kumlinganisha huyu na Sugu? Au hata na Msukuma? Au na Kibajaji? Huyu jamaa anajijua jinsi alivyoshinda huo ubunge. Kuna wagombea wengi wa chadema na vyama vingine vya upinzani walienguliwa eti kwa "kukosea" kujaza forms. Type hii ndo walionekana kufaa.

Maendeleo hayana vyama.
 
Huyu jamaa siku za karibuni namuona kama vile yuko kwenye "junction" haeleweki anataka kuelekea wapi? Ameanza kuona umuhimu wa wale "walioenguliwa"

Hadi 2025 atakua amewaelewa sana wabunge wa CCM na bunge lao la kijani.
 
Na huo ndo mtaji wao kuwa na wabunge wenye poor reasoning ili waweze kuwatumia kama wanavyotaka kubadili mambo ya msingi kuwa ya kipumbavu (wanakwambia RAIS aongezwe muda hadi achoke mwenyewe)!

Awamu ya tano tumepigwa pakubwa sana.
Ulivyohitimisha kuhusu "kupigwa pakubwa" ndo umepigia mstari hoja yako.

Kidogo kidogo tutaelewana tu. Tumewakataa wenye hoja za msingi ndani ya bunge, tukaamua kuwaweka hawa.

Hii dawa chungu lazima tuimeze hadi 2025. Na bado wanasema "atake asitake"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…