Mheshimiwa Kassim Amari Mbaraka Mbunge wa Ngamiani Tanga Atembelea Maktaba

Mheshimiwa Kassim Amari Mbaraka Mbunge wa Ngamiani Tanga Atembelea Maktaba

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,526
Reaction score
34,057
MHESHIMIWA KASSIM AMARI MBARAKA MBUNGE WA TANGA MJINI ATEMBELEA MAKTABA​
Mheshimiwa Kassim Makbel Mbunge wa Ngamiani Tanga leo ametembelea Maktaba na kuizawadia kitabu kizuri sana tena cha nyakati hizi tulizonazo.

Mheshimiwa Kassim Amari Mbaraka kaizawadia Maktaba kitabu cha Ayatullahi Udhma Sayyid Ali Khamanei: ''Seli Namba 14.''
​
Ali Khamanei hahitaji kutambulishwa kwani jina lake linatosha kueleza yote hasa katika nyakati hizi tulizonazo.

Siku hii Maktaba itakikumbuka kitabu hiki kwani ni siku Marekani imekubaliana na Iran kusimamisha vita na kufanya mazungumzo ya kutafuta amani jambo ambalo ulimwengu mzima likitaka.

1775678862905.png

1775678924961.png
 
Back
Top Bottom