Mheshimiwa Lissu nakushauri ongeza ulinzi

Ninaongea haya nikiwa najua mengi !!

Kwa sasa una maadui wawili
1. Ndani ya chama ambao mr Slaa alisema wamo na wanaua
2. Ndani ya Serikali watakaotumia nafasi ya nayotokea kutimiza adhma yao


Britanicca
Ni kweli afanye hivyo maana amejiongezea maadui bila sababu ya msingi. Kama aliyoyatangaza hayuko pamoja na wenzake kwenye Chama atafanya kuwe na maswali mengi.
 
Ninaongea haya nikiwa najua mengi !!

Kwa sasa una maadui wawili
1. Ndani ya chama ambao mr Slaa alisema wamo na wanaua
2. Ndani ya Serikali watakaotumia nafasi ya nayotokea kutimiza adhma yao


Britanicca
Lissu wa sasa sio yule wa jana na alipo fikia iwe serikali au chama akiguswa tu itakua habari nyingine.
 
Juzi niliongea hili jambo bahati nzuri nikatolea mfano Benigno Aquino Jr, Seneta wa Ufilipino na kiongozi wa upinzani dhidi ya utawala wa Ferdinand Marcos, aliuawa mnamo Agosti 21, 1983.

Aquino alikuwa mkosoaji mkubwa wa Marcos na alikuwa akipigania kurejeshwa kwa demokrasia nchini Ufilipino. Jamaa alionekana mleta mabadiliko ya kweli kwenye nchi yake lakini aliishia kufanyiwa assassination
 
Ninaongea haya nikiwa najua mengi !!

Kwa sasa una maadui wawili
1. Ndani ya chama ambao mr Slaa alisema wamo na wanaua
2. Ndani ya Serikali watakaotumia nafasi ya nayotokea kutimiza adhma yao

Britanicca
Naunga mkono hoja
Kwa hili tishio la usalama wa Tundu Lissu aliloshikwa sikio kuwa kuna njama zinapangwa kumshughulikia Tundu Lissu afunguka A-Z wasiojulikana kutaka kumuumiza!
kama ni kweli njama hizo zilikuwepo ila sasa hazita tekelezwa tena kwasababu tayari zimeisha kuwa exposed

Then hoja za bandiko hili TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! bado zina sadifu!。
P
 
Kama sijasahau, wale maaskari na kikundi chote kikichohusika kumuua, waliburuzwa nahakamani baada ya utawala mwingine kuingia madarakani na walipatikana na hatia na kuhukumiwa.
 
Kama sijasahau, wale maaskari na kikundi chote kikichohusika kumuua, waliburuzwa nahakamani baada ya utawala mwingine kuingia madarakani na walipatikana na hatia na kuhukumiwa.
Yeah ni kweli, Baada ya Ferdinand Marcos kuondolewa madarakani mwaka 1986, utawala mpya chini ya Corazon Aquino, mjane wa Benigno Aquino Jr., ulianzisha tume ya kuchunguza mauaji ya mumewe.

Uchunguzi ambao ulifanywa mpaka kwa maafisa wa kijeshi na raia kadhaa waliokuwa chini ya utawala wa Marcos. Baada ya kesi ndefu, maafisa kadhaa wa jeshi, akiwemo Jenerali Fabian Ver, mkuu wa jeshi la Ufilipino wakati huo, walipatikana na hatia ya mauaji na kula njama ya kufanya mauaji na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela

Hii habari nimeikumbuka ni ya miaka ya nyuma. Rais, Jeshi, Wanasiasa wa Benigno na baadhi ya wananchi walihusika kikamilifu kumpoteza huyu mwamba. Lissu awe makini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…