Mheshimiwa Lissu nakushauri ongeza ulinzi

Mheshimiwa Lissu nakushauri ongeza ulinzi

Kweli ndo maana kaongeza bullet proof kama yule mpinzani wa Uganda, lakini wote tuwe walinzi ikionekana limetokea tupambane nao
 
Ninaongea haya nikiwa najua mengi !!

Kwa sasa una maadui wawili
1. Ndani ya chama ambao mr Slaa alisema wamo na wanaua
2. Ndani ya Serikali watakaotumia nafasi ya nayotokea kutimiza adhma yao


Britanicca
Sikubishii
 
Back
Top Bottom