masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Ukitembelewa na mkubwa ni neema tupu.Mpaka akutumbelea ndiyo akupe neema,, jishughulishe ndugu
Ha ha haWe nae, kwani Mbeya iko kanda ya ziwa?
Ha ha ha
Acha unaa, Rais ni wa nchi nzima.
Taa za kuongozea taa ni kitu gani hikoMbeya hatumtaki!kwani miradi mikubwa yote anaipeleka Dar,Dom Mwanza na Chato tu!
Mbeya tunadharauliwa sana,
Mpaka Leo uwanja wa SONGWE hauna taa za kuongozea taa usiku,huu si ni u..la?