Mheshimiwa Magufuli, ni lini utatutembelea Mbeya na Wilaya zake?

Mheshimiwa Magufuli, ni lini utatutembelea Mbeya na Wilaya zake?

Je ni lini atatembelea, tarime,kiteto, Simanjiro, mbulu, Rombo, nzera, chunya, handeni, kilosa, Siha, meru, longido, manyoni, kaliua,kibondo, biharamulo, mufindi,kulolo na gairo
Kwani mmemwita?
Sisi tunataka aje huku, kero lukuki!
 

Mara zote kutembelewa na mgeni ni baraka. Kutembelewa na Rais ni baraka zaidi.

Kutembelewa na Rais Magufuli ni baraka tele ambayo wananchi wa Mbeya tumekuwa tukisubiri bila kiu hiyo kusuuzwa kwa muda mrefu sana.

Kwa ziara za kamusudi kukagua maendeleo na kuhamasisha wananchi, Mkapa hakuwahi kutemebelea Mbeya, Kikwete hakuwahi kutembelea Mbeya na Magufuli hajawahi kutemebelea Mbeya.

Marais wote walifika Mbeya wakati wa Kampeni tu ya Urais.

Mheshimiwa Magufuli tunaomba ukate huu mzizi, wananchi wana hamu sana kukuona Mbeya.
Sisi Songwe hatumtaki maana atatuletea mikosi!
 
Sisi Songwe hatumtaki maana atatuletea mikosi!
Ndio mliokuwa mnatuchafua.
Yale mawe mliyompiga Kikwete tunayakumbuka.
Yalituchafua sana.
Heri sasa mko wenyewe, mmetengwa, animists.
 
Ndio mliokuwa mnatuchafua.
Yale mawe mliyompiga Kikwete tunayakumbuka.
Yalituchafua sana.
Heri sasa mko wenyewe, mmetengwa, animists.
Majambazi yote na wahuni wote waliopo Nyanda za Juu Kusini wanatoka Tukuyu na Kyela hivyo usihamishe magoli!

Please contain your people!
 
Majambazi yote na wahuni wote waliopo Nyanda za Juu Kusini wanatoka Tukuyu na Kyela hivyo usihamishe magoli!

Please contain your people!
Mkuu tunakumbuka vyema waliomrushia mawe mh. Kikwete walitoka wapi!
Huna haja ya kuleta uongo jamvini.
 
Alishatembelea huko muhula uliopita. Labda kama unataka atembelee tena muhula huu wa pili.
 
Duuh yaani viongozi wote hao wamewakwepa??

Kuna tatizo mahali sio bure.

Nakumbuka Msafara wa JK uliwahi rushiwa mawe. Hatari sana.

Nadhani pia alishawahi tembelea huko,

Kama unakumbuka akaenda mpaka tunduma na walikutana na Rais wa Zambia Bwn . Lungu. Kama unakumbuka yule kiongozi wa Zambia aliyepokea fedha toka kwa Rais kwa kupiga magoti.
Mkuu marais kutembelea Mbeya ni nadra sana.
Sisi wajazi waMbeya tunajua hilo.
Kutembekewa kunaketa neema na watu wa Mbeya kihistoriani wakarimu sana.
 
Mkuu tunakumbuka vyema waliomrushia mawe mh. Kikwete walitoka wapi!
Huna haja ya kuleta uongo jamvini.
Asante mkuu kwa kumjibu huyo ambaye anajieleza anatoka wapi.
Anafikiri watu nchi nzima hawajui wachuna ngizi wanatoka wapi.
 
Mkuu tunakumbuka vyema waliomrushia mawe mh. Kikwete walitoka wapi!
Huna haja ya kuleta uongo jamvini.
Hao wahuni walitoka Tukuyu na Kyela. Kwa desturi watu wa Songwe ni wakarimu sana na ndiyo jadi yetu.

Umeshawahi kusikia watu wanajiita "Wanyambala"? Basi ndiyo hao wanajifanya vidume vya mbegu.
 
Akija mkuu wenu wa mkoa anaongea pumba tu eti tuanzishe CHAMA CHA MAGUFULI PEOPLES PARTY badala ya kumwambia barabara ya Mbeya-Tunduma haipitiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magufuri alitembelea mby mwaka 2019 mwisho wa mwezi april pamoja na mambo mengne alitembelea wilaya zote alizindua barabara kyela ya kikusya matema alishiriki ibada ya kumsimika askofu wa jimbo kuu katoliki mby alikuwa mgeni rasm siku ya wafanyakazi duniani mayday alitoka mby akenda songwe akaenda rukwa theni akamalizia katavi
Pengne umesahau, ulikuwa hujazaliwa au hukuwepo mby
 
Hahah Mbeya mtulie kwanza
255745059872_status_e62a3fcbea914ae1b67c2b1f224b48a6.jpg
 
Back
Top Bottom