Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,367
- 12,362
Vijana wa Mbalizi walikuwa wanakimbia barabarani Kama vichaa na kuimba mitano Tena.Mbeya hatumtaki!kwani miradi mikubwa yote anaipeleka Dar,Dom Mwanza na Chato tu!
Mbeya tunadharauliwa sana,
Mpaka Leo uwanja wa SONGWE hauna taa za kuongozea taa usiku,huu si ni u..la?
Anzisha mada yako mkuu!Je ni lini atatembelea, tarime,kiteto, Simanjiro, mbulu, Rombo, nzera, chunya, handeni, kilosa, Siha, meru, longido, manyoni, kaliua,kibondo, biharamulo, mufindi,kulolo na gairo
Kwani mmemwita?Je ni lini atatembelea, tarime,kiteto, Simanjiro, mbulu, Rombo, nzera, chunya, handeni, kilosa, Siha, meru, longido, manyoni, kaliua,kibondo, biharamulo, mufindi,kulolo na gairo
Chalamila pimbi sana.Akija mkuu wenu wa mkoa anaongea pumba tu eti tuanzishe CHAMA CHA MAGUFULI PEOPLES PARTY badala ya kumwambia barabara ya Mbeya-Tunduma haipitiki.
Watu wa Mbeya wanamsubiri tele.Sitarajii kumuona akija Mbeya.
Sisi Songwe hatumtaki maana atatuletea mikosi!
Mara zote kutembelewa na mgeni ni baraka. Kutembelewa na Rais ni baraka zaidi.
Kutembelewa na Rais Magufuli ni baraka tele ambayo wananchi wa Mbeya tumekuwa tukisubiri bila kiu hiyo kusuuzwa kwa muda mrefu sana.
Kwa ziara za kamusudi kukagua maendeleo na kuhamasisha wananchi, Mkapa hakuwahi kutemebelea Mbeya, Kikwete hakuwahi kutembelea Mbeya na Magufuli hajawahi kutemebelea Mbeya.
Marais wote walifika Mbeya wakati wa Kampeni tu ya Urais.
Mheshimiwa Magufuli tunaomba ukate huu mzizi, wananchi wana hamu sana kukuona Mbeya.
Ndio mliokuwa mnatuchafua.Sisi Songwe hatumtaki maana atatuletea mikosi!
Majambazi yote na wahuni wote waliopo Nyanda za Juu Kusini wanatoka Tukuyu na Kyela hivyo usihamishe magoli!Ndio mliokuwa mnatuchafua.
Yale mawe mliyompiga Kikwete tunayakumbuka.
Yalituchafua sana.
Heri sasa mko wenyewe, mmetengwa, animists.
Mkuu tunakumbuka vyema waliomrushia mawe mh. Kikwete walitoka wapi!Majambazi yote na wahuni wote waliopo Nyanda za Juu Kusini wanatoka Tukuyu na Kyela hivyo usihamishe magoli!
Please contain your people!
Mkuu marais kutembelea Mbeya ni nadra sana.Duuh yaani viongozi wote hao wamewakwepa??
Kuna tatizo mahali sio bure.
Nakumbuka Msafara wa JK uliwahi rushiwa mawe. Hatari sana.
Nadhani pia alishawahi tembelea huko,
Kama unakumbuka akaenda mpaka tunduma na walikutana na Rais wa Zambia Bwn . Lungu. Kama unakumbuka yule kiongozi wa Zambia aliyepokea fedha toka kwa Rais kwa kupiga magoti.
Asante mkuu kwa kumjibu huyo ambaye anajieleza anatoka wapi.Mkuu tunakumbuka vyema waliomrushia mawe mh. Kikwete walitoka wapi!
Huna haja ya kuleta uongo jamvini.
Hao wahuni walitoka Tukuyu na Kyela. Kwa desturi watu wa Songwe ni wakarimu sana na ndiyo jadi yetu.Mkuu tunakumbuka vyema waliomrushia mawe mh. Kikwete walitoka wapi!
Huna haja ya kuleta uongo jamvini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akija mkuu wenu wa mkoa anaongea pumba tu eti tuanzishe CHAMA CHA MAGUFULI PEOPLES PARTY badala ya kumwambia barabara ya Mbeya-Tunduma haipitiki.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna muwakilishi wake hapo ndugu chalamila Albert atawatembelea.