masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
- Thread starter
-
- #41
Kumkaribisha Magufuli atutembelee tena ni ujembe kuwa bado na sisi tunamkumbuka na bado tunamhitaji atutembelee.Magufuri alitembelea mby mwaka 2019 mwisho wa mwezi april pamoja na mambo mengne alitembelea wilaya zote alizindua barabara kyela ya kikusya matema alishiriki ibada ya kumsimika askofu wa jimbo kuu katoliki mby alikuwa mgeni rasm siku ya wafanyakazi duniani mayday alitoka mby akenda songwe akaenda rukwa theni akamalizia katavi
Pengne umesahau, ulikuwa hujazaliwa au hukuwepo mby
Mara zote kutembelewa na mgeni ni baraka. Kutembelewa na Rais ni baraka zaidi.
Kutembelewa na Rais Magufuli ni baraka tele ambayo wananchi wa Mbeya tumekuwa tukisubiri bila kiu hiyo kusuuzwa kwa muda mrefu sana.
Kwa ziara za kamusudi kukagua maendeleo na kuhamasisha wananchi, Mkapa hakuwahi kutemebelea Mbeya, Kikwete hakuwahi kutembelea Mbeya na Magufuli hajawahiHamjapoteza kitu hana jipya huyo mwacheni abaki kwake Dar es Salaam, Dodoma na Chato bali furahini tu janga linawapitia mbali maana wenzenu wa Dar wanalia kwa kuvurugiwa mfumo imara wa uongozi wa Jiji lao uliojengeka kwa miaka 60. Mbeya imara bila Magufuli!
Mara zote kutembelewa na mgeni ni baraka. Kutembelewa na Rais ni baraka zaidi.
Kutembelewa na Rais Magufuli ni baraka tele ambayo wananchi wa Mbeya tumekuwa tukisubiri bila kiu hiyo kusuuzwa kwa muda mrefu sana.
Kwa ziara za kamusudi kukagua maendeleo na kuhamasisha wananchi, Mkapa hakuwahi kutemebelea Mbeya, Kikwete hakuwahi kutembelea Mbeya na Magufuli hajawahi kutemebelea Mbeya.
Marais wote walifika Mbeya wakati wa Kampeni tu ya Urais.
Mheshimiwa Magufuli tunaomba ukate huu mzizi, wananchi wana hamu sana kukuona Mbeya.
We bwana tuombe radhi bila masharti.Hahah Mbeya mtulie kwanzaView attachment 1712589
Mkubwa akikutembelea, wasaidizi nao wanaboresha huduma za viwango vyao na wananchi kwa ujumla.Mpaka akutumbelea ndiyo akupe neema,, jishughulishe ndugu
Mkuu ukarimu wenu hatujawahi kuusikia.Hao wahuni walitoka Tukuyu na Kyela. Kwa desturi watu wa Songwe ni wakarimu sana na ndiyo jadi yetu.
Umeshawahi kusikia watu wanajiita "Wanyambala"? Basi ndiyo hao wanajifanya vidume vya mbegu.
Mbona Mbeya alikuja,,badala ya kuwa faida ikawa keroMkubwa akikutembelea, wasaidizi nao wanaboresha huduma za viwango vyao na wananchi kwa ujumla.
Waliomrushia mawe Kikwete wanakaa/wanaishi Songwe, ila wanatoka nje ya Songwe.Mkuu ukarimu wenu hatujawahi kuusikia.
siyo mbaya, tueleze.
Lakini waliomrushia mawe Kikwete wanatika Songwe.
Hapo juu umeongelea kuhamisha magoli?Waliomrushia mawe Kikwete wanakaa/wanaishi Songwe, ila wanatoka nje ya Songwe.
Ndiyo kwa sababu waliorusha mawe wanafahamika si wenyeji wa Songwe bali wanatoka kwa mtoa mada!Hapo juu umeongelea kuhamisha magoli?
Ha ha haNdiyo kwa sababu waliorusha mawe wanafahamika si wenyeji wa Songwe bali wanatoka kwa mtoa mada!
mwaka 2019 mwezi wa 4 mwishoni na wa tano mwanzoni, alifanya ziara na akahitimisha na mei mosi, alifika mpaka Rungwe.
Mara zote kutembelewa na mgeni ni baraka. Kutembelewa na Rais ni baraka zaidi.
Kutembelewa na Rais Magufuli ni baraka tele ambayo wananchi wa Mbeya tumekuwa tukisubiri bila kiu hiyo kusuuzwa kwa muda mrefu sana.
Kwa ziara za kamusudi kukagua maendeleo na kuhamasisha wananchi, Mkapa hakuwahi kutemebelea Mbeya, Kikwete hakuwahi kutembelea Mbeya na Magufuli hajawahi kutemebelea Mbeya.
Marais wote walifika Mbeya wakati wa Kampeni tu ya Urais.
Mheshimiwa Magufuli tunaomba ukate huu mzizi, wananchi wana hamu sana kukuona Mbeya.
Ni washenzi wa wilaya ya Chunya iliyoko MbeyaMkuu tunakumbuka vyema waliomrushia mawe mh. Kikwete walitoka wapi!
Huna haja ya kuleta uongo jamvini.
Ni jukumu la vyombo vya dola kuonyesha umahiri wao kwa sababu aliyerushiwa mawe ni boss wao!Ha ha ha
Kwa nini hamkuwashika?
Unakwepa kujibu swali maana unajua kuwa unachochea.Ni jukumu la vyombo vya dola kuonyesha umahiri wao kwa sababu aliyerushiwa mawe ni boss wao!
Bado wananchi wana hamu ya kumwona Mbeya.mwaka 2019 mwezi wa 4 mwishoni na wa tano mwanzoni, alifanya ziara na akahitimisha na mei mosi, alifika mpaka Rungwe.
Yule mvuta bangi alishapigwa chini na wana CCM, kwani unamsikia tena?Mbeya si mna rais wenu yule wa kufokafoka, mwambieni awatembelee
Ni taa gani hizo za kuongozea taaMbeya hatumtaki!kwani miradi mikubwa yote anaipeleka Dar,Dom Mwanza na Chato tu!
Mbeya tunadharauliwa sana,
Mpaka Leo uwanja wa SONGWE hauna taa za kuongozea taa usiku,huu si ni u..la?