Raila Odinga Leo amekaribishwa kwa furaha na heshima kubwa na rais William Ruto ikulu ya Nairobi

Raila Odinga Leo amekaribishwa kwa furaha na heshima kubwa na rais William Ruto ikulu ya Nairobi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Rais William Ruto ametangaza kuwa atashirikiana na Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, ili kufanikisha ajenda za maendeleo za serikali.

Akimpokea Raila Odinga katika Ikulu ya Mombasa siku ya Jumatatu, baada ya kushindwa kwenye kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), Rais Ruto alieleza kuwa atatumia fursa ya serikali yenye uwakilishi mpana, ikijumuisha uongozi wa pamoja kati ya serikali na upinzani, ili kuendeleza maendeleo nchini.

"Tufunge ukurasa na tuangalie kile tunachoweza kufanya kwa ajili ya Kenya. Mambo yanayohitaji juhudi zetu za pamoja kama serikali ambayo sasa ina uwakilishi mpana, yanatupa kila sababu ya kuongeza kasi ya utekelezaji wa mambo yatakayobadili taifa," alisema Rais Ruto akiwa Ikulu ya Mombasa.

===============================================

President William Ruto has announced that he will work with former Prime Minister Raila Odinga to achieve the government's development agenda.

While receiving the former premier after his failed African Union Commission (AUC) chairperson contest on Monday, Ruto noted that he will take advantage of the broad-based government, a joint leadership between the opposition and the ruling government, to foster development across the nation.

"We close ranks and focus on what we can do for Kenya. The things that require our collective effort as an administration that is now broad-based there is every reason for us to accelerate the momentum for the delivery of the things that will transform the nation," he said at the State House in Mombasa.

"We need all hands on deck to be able to achieve this mission and vision. It is a proud moment for us to welcome you back home and to engage with you as we drive the development of our country as we engage in the nation-building exercise."

Ruto further lauded Odinga for his grit during the AUC race, asserting that Kenya has never staged a more qualified candidate in a continental contest.

He also thanked continental leaders who supported Odinga, noting that Africa will remain united towards achieving its development agenda.

"I wish to thank my brothers and colleagues across Africa for their show of solidarity and the support they extended to Kenya and Raila Odinga," he noted.

"Ultimately we remain as a united continent with an agenda for 2063 that Kenya is going to contribute to robustly to support the intra-Africa trade."

Source: The Citizen Digital
 

Attachments

  • 1740405955893.jpg
    1740405955893.jpg
    588.9 KB · Views: 1
Ruto si alisema hawezi kufanya kazi na mpinzani?.
Amenyooka, japo amezalisha mbaya zaidi Gachagua
 
Back
Top Bottom