Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
ila we jamaa wagaunanifurahisha mnooo πππ popote ulipo agazi bia na kitimoto utalipa mwenyewe ππRais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona
Vibaraka wa mabeberu wanaenda kuaibika vibaya
Kwa mujibu wa sheria za nchi ofisi rasmi ya raisi ni Ikulu, Ikulu zozote zilizo ndani ya nchi na wala siyo nyumbani kwake.
Kwa sasa zaidi ya siku 50 Rais anafanyia kazi za nchi ndani ya nyumba yake huko Chato, sijajua yale mafaili confidential ya nchi anayaweka sebuleni kwake au dining room, hili hakuna anayelijua.
Hata hivyo raisi juzi kwenye hotuba ya kisiasa aliyoitoa akiwa madhabahuni alisikika akisema kuwa anakusudia kufungua vyuo maana anaamini nchini mambo ni shwari korona siyo tishio sana.
Mimi ningependa kumwambia ndugu rais kwamba, kabla ya kufungua vyuo rudi kwanza ofisini. Wakati akiwataka maelfu ya watumishi ambao ni waalimu warudi mashuleni kuchapa kazi basi ni muhimu naye akarudi katika ofisi ambayo kisheria ndiyo anayopaswa kufanyia shughuli za kiofisi.
Nyumba ya rais huko Chato siyo ya kwake peke yake, ni yake na mkewe. Mkewe ana haki ya kuchagua mtu gani aingie ndani ya nyumba hiyo, hata hivyo Ikulu siyo yake na mkewe kwa hiyo hawana haki ya kumkatalia mtu yeyote kwenda kupata huduma ya raisi au taasisi ya uraisi yenye ofisi zake Ikulu.
Kitendo cha raisi kufanyia kazi za nchi kwenye nyumba yake binafsi kinawanyima haki ya kupata huduma za kiofisi wananchi wengi wenye kutaka kupata huduma za kiofisi za raisi.
Kitu kingine ni kwamba nyumba ya raisi huko Chato haikujengwa makhsusi kuwa na hadhi ya Uraisi, haikuwekewa vifaa vyote vya ulinzi stahiki wa mtu anayekalia kiti cha rais, kwa hiyo ni security risk kwa rais kuendelea kukaa kwenye nyumba hiyo binafsi.
Kama rais anadhani Korona ipo under control atoke huko Chato kwenye nyumba ya mama yetu mama Janet aje kwenye nyumba ambayo wananchi wamemuweka afanye kazi zetu.
Ndugu rais uko nje ya ofisi kwa muda mrefu sasa, rudi ofisini!
Rais ni taasisi bwashee!Kwa mujibu wa sheria za nchi ofisi rasmi ya raisi ni Ikulu, Ikulu zozote zilizo ndani ya nchi na wala siyo nyumbani kwake.

Ikulu mdogoWewe inakuuma nini raisi akiwa Ikulu ndogo? Kakae ww ikulu kama imekua nongwa
Kweli kabisa akamatwe uyowewe kama nani unanipangia majukumu
Chunga adabu yako
Kweli kabisa ndugulile ni beberuRais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona
Vibaraka wa mabeberu wanaenda kuaibika vibaya
Mwalimu anaweza ita wanafunzi wake bar akaanza kuwapigisha pindi ni kweli kabisa ulichokisemaKuna wadau humu waliobobea kwenye masuala ya kisiasa na kiintelijensia kama Pascal Mayalla, walitoa ufafanuzi wa kina ya kwamba Rais anaweza akafanya shughuli zake za kiofisi huku akiwa mahali popote pale ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Hivyo mkuu mtoa mada, usiwe na hofu yoyote ile juu ya hilo. Mwezi ujao (wa sita) tunamtegemea aende Dodoma kulihutubia na pia kulivunja Bunge letu. Baada ya hapo, nina imani atarejea Ikulu ya Dar au atabaki kwenye ile Ikulu ya Chamwino.
ila we jamaa wagaunanifurahisha mnooo [emoji16][emoji16][emoji16] popote ulipo agazi bia na kitimoto utalipa mwenyewe [emoji106][emoji106]
CCM CHAMA CHA BABA NA MAMA
Yeye amejificha afu anawaambia wenzake corona imeisha. Lazima mjiongeze lasivyo mtatolewa kafara..Rais akiwa Chato, inamaana wewe unaumia sana kiasi hata kwenda chooni kutoa haja zako inakuwa shida.
Mkuu siku akiondoka Chato basi nijibuSimpangii majukumu ila atoke nyumbani kwake arudi ofisini
Kinjeketile type..Yeye amejificha afu anawaambia wenzake corona imeisha. Lazima mjiongeze lasivyo mtatolewa kafara..
tunaona Twitter kule kasharudimkuu akirudi hivi karibuni naomba unitag.
Siyo taasisi ya kufanyia kazi master bedroom, sebuleni na au dining room kwenye nyumba ya mama JanetiRais ni taasisi bwashee!