Mheshimiwa Rais naomba unichague na mimi basi.. Sina ajira mwaka wa 6 sasa

Njoo uwe unanipikia na kunipa papa nitakupa mshahara mnono
 
Hahaha aha shenzy wee Mxiiiiuuuu
umenifanya nicheke mpaka mgonjwa wangu kaamka woi
Kuwa na huruma wewe mimi mtoto wa Mwanaume mwenzio

Ngoja nilie huenda akaniskia

Wenye makampuni toeni ajira bila kushawishika
 
Hapa kuna wanaume simba zaidi ya huyo hapo. Kama ni six packs zipo, wallet ni zaidi ATM ya Trump, na U-Handsome sasa yaaani utamaliza vidole kwa kuving'ata!!

Subiri watakuja
atambe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…