KIJANA2013
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 466
- 201
Kuwa mvumilivu, yasipojibiwa leo, yatajibiwa kesho au siku nyingine, muhimu usichoke kuomba kwa sababu wanasema ombeni mtapewa.Mzima nasubiria maombi yangu ya ajira yajibiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa mvumilivu, yasipojibiwa leo, yatajibiwa kesho au siku nyingine, muhimu usichoke kuomba kwa sababu wanasema ombeni mtapewa.Mzima nasubiria maombi yangu ya ajira yajibiwe
Tokea namaliza chuo miaka 10 iliyopitaUmekaa miaka mingap bench?!
Sawa, Nakuja mkuu!Hahahaha njoo nikuajiri basi
Sijawahi kuwa na ndoto za kuajiriwa,napambana kivyangu mpaka kielewekeKiru
Na hukumfuata Raisi kumwomba Ajira?!
wew ni mkenya auWatanzania daini katiba mpya na tume huru CCM itoke vinginevyo mtapata tabu Sana.
haya ntakuPM saa tano usiku🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
YesWap huko... Ikulu au?!
Sijui bhn kucheka kibongoUkimaliza ucheke kibongo bongo
hahahahaaJamii forum ni lumumba tosha
Ikulu unaenda kukalia kiti cha rangi gani.Ukiniona Ikulu usiulize nimeazima akili au nimezaliwa nazo
Yajayo Yanafurahisha. .. Up Tayari? !
Na unavyopenda kukung’utwa ni Ajira tosha muulize Wema sapenga akupe mbinuHahaha aha shenzy wee Mxiiiiuuuu
umenifanya nicheke mpaka mgonjwa wangu kaamka woi
Kuwa na huruma wewe mimi mtoto wa Mwanaume mwenzio
Ngoja nilie huenda akaniskia
Akiwa kada wote tutampandaDon't tell me Penny nae ni kada??!!!!