Mheshimiwa Rais sidhani kama kupenda Kwako kila mara ' Kumtajataja ' hadharani TISS DG Dkt. Kipilimba ni sawa Kiuweledi

Ww toa maneno yako yote machafu ukichoka utaniambia, hili jukwaa kuna watu kama wewe wachache wanalivunjia heshima ila endelea

Inaonekana Wewe ni Mgeni Kwangu na hasa kwa ile ' Falsafa ' yangu isemayo " Ukitishia Kujamba Mimi Naharisha kabisa ". Jiulize swali dogo tu kwanini wengine siwajibu vibaya / hovyo kama ambavyo nakujibu ' Mpupu ' na ' Popoma ' Wewe? Huwa nina desturi moja na ambayo sitokuja Kuiacha ng'o ambapo ninampokea Mtu vile ambavyo anakuja Kwangu. Ukija Kistaarabu Kwangu utanipenda mwenyewe kwani nina Ustaarabu wa hali ya juu ila ukija Kwangu Kihuni au Kisela au Kishari ndipo utakoma kuringa na kunijua ambapo ' utayakoga ' sana tu hadi ujute kuifahamu ' ID ' hii. Nimemaliza!
 
Kumbe hao jamaa huwaga wanavitambulisho? Hahaahaaha! Yajayo yanafurahisha
 
Watu kama wewe ndiyo huwa nawapenda sana karibu, tiririka na serereka mm nitakudaka ila angali usijeteleza ukaangukia kichwa ukatupa shida ya kuokota mabaki ya ubongo
 
Sioni kwamba kuna shida yoyote ile kama uteuzi wake unatangazwa tatizo liko wapo akiambiwa asimame asalimie acheni kumkosoa raisi wetu hamna jipya ,mungu mpiganie raisi wetu kipenzi cha wanyonge
 
Na hakuna kenge anakera kama mvivu wa kusoma.
 
Kumbe hao jamaa huwaga wanavitambulisho? Hahaahaaha! Yajayo yanafurahisha

Hivi Wewe ' Jamaa ' hujishtukii tu na hujioni jinsi ulivyo ' Mpumbavu ' na unavyojichoresha? Halafu acha ' Kulazimisha ' ili tukujue kuwa Wewe ni Mtu wa Idara / Taasisi na kwa taarifa tu sasa hapa Jamvini JamiiForums wapo Watu wengi wa huko na hawana huu ' Ushamba / Umbwigira ' ulionao. Na ndiyo unaona nakujibu Kunya / Hovyo kwani nimeshajua kuwa najibizana na Kiongozi / Rais wa ' Wapumbavu ' wote Ulimwenguni.

Endelea tu Kujiabisha / Kujichoresha ila wenye ' akili ' tumeshakudharau mapema mno kama siyo sana. Kwahiyo vile ambavyo huwa wanavyo na wanatembea navyo ambapo ikibidi kuvitoa huwa wanavitoa vinaitwa ' Matako ' yao kwa Kiswahili au? Siku zingine ninapokuwa nawajibuni ' hovyo ' na kuwaambieni kuwa baadhi yenu hamna ' Akili ' msiwe mnanibishia au kunikasirikia.

Hopeless!
 
Watu kama wewe ndiyo huwa nawapenda sana karibu, tiririka na serereka mm nitakudaka ila angali usijeteleza ukaangukia kichwa ukatupa shida ya kuokota mabaki ya ubongo

Umeshawahi kuona wapi ' Mafia ' wa ' Kitutsi / Kinyarwanda ' lenye mchanganyiko na Uzanaki na Umakuwa anatishwa na ' Wapuuzi ' wa mfano wako? Halafu bahati nzuri tu hata ' Nyota ' yangu inasema Mimi au Sisi ni ' Risk Takers ' hivyo kwa aina hii ya Vitisho Kwangu naona ni kama vile umemtoa Samaki mchangani na umemrudisha Majini ambapo ndiyo sehemu yake Kuu ya Kujidai, Kujitapa na Kutamba kabisa. Na kama kuna Vita ambayo naiweza na nimebobea nayo ni ya Maneno / Maandishi na wameshajaribu ' Majabali ' wenzako hapa na wote ' nikawaadabisha ' hadi wengi Wao sasa ni Marafiki zangu hivyo nakukaribisha na Wewe ili uipate Joto ya Jiwe ili ukiiona hii ' ID ' siku zingine uwe ama unaiheshimu au ukae nayo mbali tu.
 
Hasira hasara!! Nilijuwa ww jamaa una akili kumbe ni debe tupu
 
Ni Mara ngapi amemtaja, ni lini na Wapi ? Mpaka Uzi ufunguliwe kwa ajili ya hili
 
Mtoa mada amezunguka zunguka tu hajajenga hoja hata moja. Umeshindwa kujustify kwanini asitajwe. Umebaki tu kujiuma uma.
 
Ni Mara ngapi amemtaja, ni lini na Wapi ? Mpaka Uzi ufunguliwe kwa ajili ya hili

Bahati mbaya sana Kwako ni kwamba huu ni ' Uzi ' wa ' Great Thinkers ' ila nashangaa na najiuliza Wewe ' Popoma Thinker ' umetokea wapi.
 
Bahati mbaya sana Kwako ni kwamba huu ni ' Uzi ' wa ' Great Thinkers ' ila nashangaa na najiuliza Wewe ' Popoma Thinker ' umetokea wapi.
Mbona umepaniki mkuu, kwani maswali yangu apo yana kasoro ipi ?
Kama ulikuwa tayr kwa kujadili ulichokuwa unataka wadau humu tujadili ,hayo maswali mbona yapo ndani ya uwezo wako ! Any way umeniongezea msamiati mwingine.
I'm a best of the best Popoma's [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
mambo mapya lazima yajadiliwe lakni haina maana ya moja kwa moja ni mbaya; dunia inazunguka mambo yanabadilika
 
Mwandiko ni tatizo,kwanini unafanya maandishi yako kuwa madogo?Kiukweli huwa napata tabu kusoma mabandiko yako kutokana na size ya maandishi!
 
Kumtajataja ni ishara ya uoga.
Anataka kuwaaminisha watu kuwa Kuna nguvu kubwa sana nyuma yake.

Jamaa kasomasoma lakini shule haijasaidia sana kumtoa ushamba na u rudimentary wa wachunga ng'ombe. Tatizo the guy is not 'refined'.
 
Hiki chombo si chakuhojihoji maana hata bunge halikiwezi kaa chonjo usije pituka kesi ya uchochezi itakuhusu.
 
Labda effectiveness ya kutowataja hadharani ilikua ni ipi ambayo kwa sasa kwa vile wanatajwa (anatajwatajwa) imetoweka? kama kuna faida maridhawa taifa lilipata kwa kutowataja na sasa linapata hasara kwa kuwatajataja basi mjadala utakua na tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…