Mheshimiwa Rais sidhani kama kupenda Kwako kila mara ' Kumtajataja ' hadharani TISS DG Dkt. Kipilimba ni sawa Kiuweledi

Wewe jinga kabisa sasa unaelekezwa unajifanya mjuaji uliuliza ili iweje.Pumbafu

Katika Lugha yetu ya ' Kitutsi ' kutoka nchini Kwetu / Kwangu Rwanda neno ' Mzushi ' lina maanisha Mavi ya Asubuhi / Kinyesi cha Alfajiri sasa sioni tena haja ya Kujibizana / Kubishana nawe kisha nikaanza Kunuka ' Nnya / Mzushi ' tafadhali.
 
Kwani nimetaka ' ufafanuzi ' wa Kimantiki au ' mabishano ' nawe? Hopeless!
Kwanza ndugu Genta, viongozi kama hao wa idara nyeti wanajulikana na sio siri, issue hapa ni kwa nini anamtajataja ovyo, hiyo ni mbinu ya kuwa i am well prepared with my intelligence institutions are here with me, so watch out.

Pili mbona unapenda kumjibu kila mchangia, umeleta mada sikiliza kila upinion, huna haja ya kujibu kila kitu, accept praise and criticism, stop being negative and defensive.
 

Ushauri umezingatiwa na utafanyiwa Kazi pia. Akhsante.
 
GENTAMYCINE

Kindly ondoa wasiwasi ndugu; hakuna madhara/makosa yoyote wala hakuna uweledi uliuvunjwa kwa kutajwa kwa DGIS au ata akitajwa DDGIS wote hao ni just Public Figures...

Makosa yanaweza kutokea endapo kama wakitajwa vijana wafanyao kazi mbalimbali (Ops) kwa majina...kitu ambacho usitegemee kutokea ata siku moja...

Mataifa mbalimbali makubwa ambayo umeyazungumzia kama mifano, siku zote uwataja viongozi waandamizi mbalimbali wa Idara zao za kijasusi siku wanapoteuliwa na ata ktk mambo mengine mbalimbali...e.g.Kama ulifuatilia teuzi za Brennan, Pompeo mpaka Gina Haspel kama D/CIA...

Mfano ata asipotajwa DGIS au kutambulishwa, atakaeweza kufichwa hapa ni yule raia wa kawaida ila kwa wale ambao ni wajuzi wa haya mambo eidha wa ndani au wa mataifa mengine siku zote watawajua tu au ata mkitoa mtu nje ya nchi aje kuchukua nafasi watamjua (kwa majina, familia zao, makazi yao, weakness zao, uchafu wao, nk) ata kabla hawajateuliwa au majina yao hayajakuwa recommended kwa uteuzi...Chief of Stations (COSs) wa mataifa yote na vijana wao waliojificha kwa kivuli cha balozi hii ndio moja ya kazi zao...

Ata raia wa kawaida akijua DGIS au DDGIS ni nani au ata wakiwazoea hakuna lolote baya litaweza kutokea...narudia tena hakuna lolote baya linaweza kutokea...everything is under control, and anything will be dealt accordingly.

 
Mkuu Sheria ya Idara TISS Act ya 1996 inatamka wazi kuwa DGISS ni Public Figure hivyo anaweza kuandikwa ama kutamkwa popote ilimradi usiandike mambo yatakayovunja sheria za nchi.be so informed.kwa other officers apart from the DG ndio hairuhusiwi kutokana na majukumu yao ni ya siri (covert)
 
Tatizo sio covered au uncovered shida ni kwa nini amtaje taje pasipo na sababu yoyote, shida yake kubwa ni kujaribu kuwatisha watu
 
Tatizo sio covered au uncovered shida ni kwa nini amtaje taje pasipo na sababu yoyote, shida yake kubwa ni kujaribu kuwatisha watu
Sidhani anamaanisha hivyo mbona wengine anatambua uwepo wao. Je ingeeleweka vipi anamtambua uwepo mkuu wa polisi asitambue uwepo wake? Hiyo ni itifaki tu
 
Mbona uteuzi wake unafanywa hadharani?kwani hatumjui? Kosa kuwajua watu wa chini yake nadhan ambao wao humpelekea taarifa tu Ila kwa yeye kiongozi mkuu anaulikana
 
imekuaje lumumba wameanza kumshambulia mwenyekiti wao.wamemchokaa?
 
Umepunguza makal sanaaaa kauli yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…