GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #81
Samahani....huna hoja yoyote
Asante kwa kushiriki Kwako Kingumbaru na Kipopoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani....huna hoja yoyote
Nipe mfano nchi gani mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama wa taifa katika dunia hii ya leo, atajwa hadharani na anaambiwa asimame na watu wamuone.
You so weak on defending your argument
Wewe jinga kabisa sasa unaelekezwa unajifanya mjuaji uliuliza ili iweje.Pumbafu
Kwanza ndugu Genta, viongozi kama hao wa idara nyeti wanajulikana na sio siri, issue hapa ni kwa nini anamtajataja ovyo, hiyo ni mbinu ya kuwa i am well prepared with my intelligence institutions are here with me, so watch out.Kwani nimetaka ' ufafanuzi ' wa Kimantiki au ' mabishano ' nawe? Hopeless!
Kwanza ndugu Genta, viongozi kama hao wa idara nyeti wanajulikana na sio siri, issue hapa ni kwa nini anamtajataja ovyo, hiyo ni mbinu ya kuwa i am well prepared with my intelligence institutions are here with me, so watch out.
Pili mbona unapenda kumjibu kila mchangia, umeleta mada sikiliza kila upinion, huna haja ya kujibu kila kitu, accept praise and criticism, stop being negative and defensive.
Yaani we ndo popoma kabisa, sasa kumtaja kuna ubaya gani??
#DG
Nimejuiuliza maswali mengi sana kwani Marais wote Wastaafu walikuwa hawapendi kuwatajataja Wakuregenzi wao Usalama wa Taifa ( TISS DG ) lakini kwa Awamu hii ya Gwala / Tano Rais Dkt. Magufuli anapenda mno ' Kumtaja ' na hata kupenda ' Kumuinua ' Kitini Mkurugenzi wa sasa Dkt. Modestus Kipilimba na bado sijapata jawabu / jibu ila najua kupitia ' Majiniasi ' waliotukuka wa Jamvi hili la JamiiForums leo nitayapata.
Sikuishia tu hapo kama kawaida yangu huwa napenda kwenda ' deep ' zaidi kufanya ' references ' na Mataifa mengine mbalimbali kuanzia na haya Jirani ( tunaofanana kwa Vingi ) kisha hupenda pia kuangalia na yale Mataifa makubwa ambayo yana uwezo mkubwa wa Kuanzia Uchumi, Kijeshi na Kiusalama kuliko Tanzania yetu hii na sijaona mahala ambapo Marais wao huwa wanawataja hovyo tena hadharani Wakurugenzi Wakuu wa Idara zao ' Nyeti ' za Usalama wa Taifa ila kwa Tanzania naona hii tabia inaanza Kuzoeleka.
Kwa maoni au mtazamo wangu mdogo tu ( mnaojua zaidi mtanisaidia ) kwa asili ya hizi nchi zetu tena ambazo zina ' Majaribu ' na ' Matatizo ' mengi ya Kimsingi huku kukiwa na ' Maadui ' wengi wa ndani na nje sidhani na siafiki kabisa tena kwa 100% kwa Wakurugenzi wetu hawa wa hii Idara / Taasisi muhimu kama si nyeti ya Usalama wa Taifa ( TISS ) kutajwatajwa hovyo kwa Watu na hata kujulikana kwakuwa Tanzania ya sasa imejaa Watu wa ajabu ajabu wenye ' maslahi ' yao ' hasi ' na nchi hii hivyo kuna uwezekano na Wao wakaanza Kumjua na Kumzoea kisha hali ikaja kuwa mbaya zaidi huko mbeleni.
Na sidhani pia kama hata ' Kiuweledi ' hivi anavyofanya Mheshimiwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. Magufuli la kupenda ' Kumtajataja ' Mkurugenzi Mkuu wa Idara / Taasisi ya Usalama wa Taifa ( TISS DG ) Dkt. Kipilimba ni sahihi na kama itapendeza nadhani Watu wa ' Itifaki ' ambao nina uhakika kuwa wengi wenu tunatiririka na kuserereka pamoja 24/7 hapa JamiiForums hili mtaliangalia kwa hayo mapana yake ili utaratibu ule ule uliozoeleka wa zamani wa hawa Wakurugenzi kutojulikana sana au kutajwatajwa hovyo uendelee kwani Kwangu Mimi kwa ' Mazingira ' ya nchi yetu ulikuwa ni utaratibu murua / mujarab / sahihi kabisa kuliko huu wa sasa aliouanzisha Amiri Jeshi Mkuu na Rais Dkt. Magufuli.
Mkuu Sheria ya Idara TISS Act ya 1996 inatamka wazi kuwa DGISS ni Public Figure hivyo anaweza kuandikwa ama kutamkwa popote ilimradi usiandike mambo yatakayovunja sheria za nchi.be so informed.kwa other officers apart from the DG ndio hairuhusiwi kutokana na majukumu yao ni ya siri (covert)ANGALIZO
Naomba kama unajijua kabisa kuwa uwezo wako wa kuona vitu vya umbali / unyeti / umuhimu wake basi katika huu ' Uzi ' kaa nao mbali kabisa na waachie wenye ' akili ' zao na ' Wachambuzi ' wa masuala haya ya Kijasusi ambao wapo ( tunao ) wengi humu na Sisi Mangumbaru na Mapopoma wengine tuwe watazamaji tu kuliko Kuchangia halafu ukajikuta umevapa / umekosea.
HOJA KUU
Nashukuru sana Mwenyezi Mungu kwamba karibia awamu zote za nchi hii nilikuwepo japo ya Hayati Baba wa Taifa ilinikutia nikiwa bado katika Ndoo ya Kuogea na nalilia Uji wa Buruga ( namaanisha nikiwa bado Kichanga kabisa ) ila kwa awamu ya Mzee Mwinyi niliishuhudia bila kusahau ya Mzee Mkapa na ya Mzee Kikwete na sasa nipo hii ya Mheshimiwa Dkt. Magufuli natiririka na naserereka nayo.
Katika Awamu zote hizo sikuwahi hata Siku moja kuwasikia hao Watangulizi wake Rais Dkt. Magufuli wakiwa na tabia ya kupenda ' Kumtajataja ' au hata kupenda kuonyesha kwamba Mkurugenzi Mkuu wa Idara Nyeti nchini ya Usalama wa Taifa ( TISS ) yupo eneo ambalo Wao wapo ila ilikuwa ni mpaka tu labda Mtu akutonye / akuambie.
Nimejuiuliza maswali mengi sana kwani Marais wote Wastaafu walikuwa hawapendi kuwatajataja Wakuregenzi wao Usalama wa Taifa ( TISS DG ) lakini kwa Awamu hii ya Gwala / Tano Rais Dkt. Magufuli anapenda mno ' Kumtaja ' na hata kupenda ' Kumuinua ' Kitini Mkurugenzi wa sasa Dkt. Modestus Kipilimba na bado sijapata jawabu / jibu ila najua kupitia ' Majiniasi ' waliotukuka wa Jamvi hili la JamiiForums leo nitayapata.
Sikuishia tu hapo kama kawaida yangu huwa napenda kwenda ' deep ' zaidi kufanya ' references ' na Mataifa mengine mbalimbali kuanzia na haya Jirani ( tunaofanana kwa Vingi ) kisha hupenda pia kuangalia na yale Mataifa makubwa ambayo yana uwezo mkubwa wa Kuanzia Uchumi, Kijeshi na Kiusalama kuliko Tanzania yetu hii na sijaona mahala ambapo Marais wao huwa wanawataja hovyo tena hadharani Wakurugenzi Wakuu wa Idara zao ' Nyeti ' za Usalama wa Taifa ila kwa Tanzania naona hii tabia inaanza Kuzoeleka.
Kwa maoni au mtazamo wangu mdogo tu ( mnaojua zaidi mtanisaidia ) kwa asili ya hizi nchi zetu tena ambazo zina ' Majaribu ' na ' Matatizo ' mengi ya Kimsingi huku kukiwa na ' Maadui ' wengi wa ndani na nje sidhani na siafiki kabisa tena kwa 100% kwa Wakurugenzi wetu hawa wa hii Idara / Taasisi muhimu kama si nyeti ya Usalama wa Taifa ( TISS ) kutajwatajwa hovyo kwa Watu na hata kujulikana kwakuwa Tanzania ya sasa imejaa Watu wa ajabu ajabu wenye ' maslahi ' yao ' hasi ' na nchi hii hivyo kuna uwezekano na Wao wakaanza Kumjua na Kumzoea kisha hali ikaja kuwa mbaya zaidi huko mbeleni.
Na sidhani pia kama hata ' Kiuweledi ' hivi anavyofanya Mheshimiwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. Magufuli la kupenda ' Kumtajataja ' Mkurugenzi Mkuu wa Idara / Taasisi ya Usalama wa Taifa ( TISS DG ) Dkt. Kipilimba ni sahihi na kama itapendeza nadhani Watu wa ' Itifaki ' ambao nina uhakika kuwa wengi wenu tunatiririka na kuserereka pamoja 24/7 hapa JamiiForums hili mtaliangalia kwa hayo mapana yake ili utaratibu ule ule uliozoeleka wa zamani wa hawa Wakurugenzi kutojulikana sana au kutajwatajwa hovyo uendelee kwani Kwangu Mimi kwa ' Mazingira ' ya nchi yetu ulikuwa ni utaratibu murua / mujarab / sahihi kabisa kuliko huu wa sasa aliouanzisha Amiri Jeshi Mkuu na Rais Dkt. Magufuli.
Huu ulikuwa ni mtizamo wangu Mimi kama GENTAMYCINE ila nitashukuru na Watu wengine nao wakija hapa wakichangia huku wale ambao ' watanikosoa ' basi wanikosoe ha ' Hoja ' nzito nzito kwani hata Mimi nataka Kujifunza jambo hapa kutokana na kwamba yawezekana huu utaratibu wa sasa ukawa ndiyo sahihi kuliko ule ambalo nimeukariri / nimeuzoea. Nia na madhamuni tupate afya ya Kimjadala na ya Kimantiki juu ya hili ' Suala ' kusudi mwisho wa Siku wote tupate ' maarifa ' na ' ufahamu ' zaidi.
Karibuni!
Nawasilisha.
Tatizo sio covered au uncovered shida ni kwa nini amtaje taje pasipo na sababu yoyote, shida yake kubwa ni kujaribu kuwatisha watuAwamu za nyuma za Analogy mambo haya yalikuwa magumu leo ni digital amtaje asimtaje watu watajua tu tangu akiwa Nida lkn pia huyo ni DG tiss si mtu anayehitajika kuwa covered ila siku akiwapanga watumishiwa tiss na kuwaarika kwa chakula ikulu kama alivyofanya na trafiki hapo ndio itakuwa issue mbaya maana wanatakiwa kuwa covered ili wafanye kazi japo wengine kama wale special group linalovaa suti mbele ya kamera. Lakini wauza magazeti na mchicha ;bodaboda manesi engineers nk walio kitengo hao hatakaa awataje si tu kuwataja wengine hatakaa awajue lkn huyo DG aweza hata kuhamia hata Sumatra asilete madhara hata kuwa opposition leader sema akikiuka masharti tu anaingia saverhouse
Sidhani anamaanisha hivyo mbona wengine anatambua uwepo wao. Je ingeeleweka vipi anamtambua uwepo mkuu wa polisi asitambue uwepo wake? Hiyo ni itifaki tuTatizo sio covered au uncovered shida ni kwa nini amtaje taje pasipo na sababu yoyote, shida yake kubwa ni kujaribu kuwatisha watu
Umepunguza makal sanaaaa kauli yakeKabla ya huyu DG mpya nakumbuka mzee alikuwa airport pale. Kipindi hicho tumbua tumbua ndio imeshika hatamu. Sasa Sijui kulikuwa na mishe gani pale nikasikia, mkurugenzi wa UWT mambo ya ndani si yuko hapa? Akamtaja jina akamwambia jamaa sogea tueleze ikoje
Jamaa akamwambia kiutaratibu hawezi kusema maana ashapeleka taarifa sehemu husika. Au Kama vipi wakazungumze nje ya kamera zile. Ikaishia hapo.
Jamaa akaja kulamba ubalozi sijui nchi gani huko hadi saivi. Toka Siku ile Mimi binafsi nilizoea Kwamba atataja tu na kuita mbele yoyote. Sio ajabu.
Watanzania tuna uvivu wa kusoma, tufute hii kasumba!Ndefu sana...