Ni wakulima wa matunda,kuanzia maembe mpaka machungwa mpaka mananasi ,kwa kweli tunapata hasara kubwa sana ,tunachohitaji ni kama ipo wizara au waziri wa kilimo,mpatie safari za nje aend huko kutembelea masoko kwa maana ya sokoni au hata kwenye suprmarket zile kubwa kubwa.
Ninachokiona kwa upande wangu nilipotembelea baazi ya nchi katika kuchakarika nilipita sokoni matunda niliyoyaona sikuweza kuyanunua kwani hayana kiwango nilichokizoea hapa kwetu.
Maembe ,mahindi mabichi,machungwa ,mananasi ambayo nimeambia hutokea uhindini,pakistani kwa kweli hayafikii hata robo ya matunda yetu kwa ubora.
Hapa kwetu haya matunda huzalishwa na yakazaliana mpaka mwisho tunasema huwa kama uchafu ,yanatuozea kwenye magenge na mashamba. Moja kati ya mawili inunuliwe meli kubwa itakayoweza kusafirisha matunda hayo kupeleka nchi hizo kwa wakati,yaani kuna membe ya kenya nayo yapo taabani,mananasi niliyoyaona kwa huku kwetu huyaita mananasi mwitu.
Huyo waziri atutafutie utaratibu wa kuweza kuuza bidhaa za matunda ni jambo la mawasiliano tu na taratibu sa kiafya zitakuwepo hapa ,serikali ni lazima ifanye mawasiliano na nchi hizo ambazo ni walengwa,
Ila wananchi tunapata hasara sana sana,na pia hio wizara ituwekee dawa za kuuwa wadudu waharibifu haswa haswa wanaoharibu maembe ili yaondokane na mafunza,embe ya Tanzania kwa sasa unatakiwa uile usiku tena kwenye kiza.