Mmeanza kua na mashaka na jinsia yakoLeo 30/08/2023 kuna mbunge mwanamke simfahamu jina jina lake, nilikuwa namuona kaketi nyuma wakati Nape anawasilisha kutokea kwenye "podium", amevaa "evening dress" ya kifuwa wazi bungeni. Ni aibu kwa bunge ketu ikiwa wabunge hata "dress codes" hawaelewi, wawe wanakwenda wabobezi wa mitindo wawafunde wabunge wetu huusan kam huyo dada mjinga mjinga namna ya kuvaa.
Hivi alikuwa anatangaza biashara au kaenda kuwakilisha wananchi wake? Mavazi hayo avae akitoka kazini na akiwa mumewe (kama anae) nyumbani, kwa mbunge hayafai kuvaa kabisa mbele ya jamii.
Si huyo tu, "dress codes" kuwa "violated" imekuwa ni kitu cha kawaida bungeni, Tanzania.
Nawasilisha.
Picha
Ungetuambia tuanzie na tuishie dakika ya ngapi..!! Kututazamisha video ya dakika 40 ili tu kutafuta nyonyo iliyo wazi ni kutukosea heshima kiuchumiTazama post #8
Huyu?Tazama post #8
Yule mbona kavaa kakoti keupe bila shida tatizo lipo wapi pale sijaona mabega wazi MimiNi maadili ya kawaida tu, ustaarabu ulitufundisha kuficha miili yetu siyoi kuiwacha wazi hata bingeni.
Unafahamu maana ya neno "ustaarabu"?
Kumbe hii nyeusi ni nightdress?
Sasa hapo tatizo lipo wapi? Au sababu hajavaa ushungi na nikabu? Mnaanza kupelekana Talban sasaHajavaa kakoti, tazama post #15 nimeweka screen snip yake.
Siyo huyu, huyu kavaa kiheshima na kibunge kabisa, yuleee aliyekaa nyuma yake. Tazama post #15.Kumbe hii nyeusi ni nightdress?View attachment 2733212
Yule mbon hajavaa vibaya amevaa Safi tu au wewe una perception zako hajavaa vibaya wala niniSiyo huyu, huyu kavaa kiheshima na kibunge kabisa, yuleee aliyekaa nyuma yake. Tazama post #15.