Kwani kamwambia ni wa dini yake wanayovaa maturubai, hiki kibibi kimetumwa kuwatoa watu kwenye mjadala wa bandari hakuna kitu cha maana kujadili kwenye hili.Hata Mimi nashangaa eti kavaa vibaya kosa mabega yapo wazi anataka avae ki-ninja Bungeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kamwambia ni wa dini yake wanayovaa maturubai, hiki kibibi kimetumwa kuwatoa watu kwenye mjadala wa bandari hakuna kitu cha maana kujadili kwenye hili.Hata Mimi nashangaa eti kavaa vibaya kosa mabega yapo wazi anataka avae ki-ninja Bungeni
Kuhusu bandari wenzako washa ufyta, wewe endelea kubweka kuna siku na wewe utaufyata.Kwani kamwambia ni wa dini yake wanayovaa maturubai, hiki kibibi kimetumwa kuwatoa watu kwenye mjadala wa bandari hakuna kitu cha maana kujadili kwenye hili.
Hilo sio bunge ni kikao Cha Chama, alafu unajifanya unajitoa ufahamu kujisahulisha kwamba hao wanaojiita wabunge ndio wanaongoza kudanga?Leo 30/08/2023 kuna Mbunge Mwanamke simfahamu jina lake, nilikuwa namuona kaketi nyuma wakati Nape anawasilisha kutokea kwenye "podium", amevaa "evening dress" ya kifua wazi bungeni.
Ni aibu kwa Bunge letu ikiwa wabunge hata "dress codes" hawaelewi, wawe wanakwenda wabobezi wa mitindo wawafunde Wabunge wetu hususan kama huyo dada mjinga mjinga namna ya kuvaa.
Hivi alikuwa anatangaza biashara au kaenda kuwakilisha wananchi wake? Mavazi hayo avae akitoka kazini na akiwa mumewe (kama anae) nyumbani, kwa mbunge hayafai kuvaa kabisa mbele ya jamii.
Si huyo tu, "dress codes" kuwa "violated" imekuwa ni kitu cha kawaida bungeni, Tanzania.
Nawasilisha.
Hilo la kudanga ni lako wewe, langu mimi ni "dress codes" za bungeni.Bungeni
Hilo sio bunge ni kikao Cha Chama, alafu unajifanya unajitoa ufahamu kujisahulisha kwamba hao wanaojiita wabunge ndio wanaongoza kudanga?
Hakuna kiki inayoweza kuzima swala la bandari za Tanganyika kupewa mwarabu, endeleeni kuhadaika.Kuhusu bandari wenzako washa ufyta, wewe endelea kubweka kuna siku na wewe utaufyata.
Watu jana na leo wapo Kizimkazi, wewe bado upo bandarini? Unanchekesha.
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Tulia bibi dili lenu limeshabuma.Umechelewa jamvini karamau imeshaliwa?
Unamngoja mdudu aje kukusemea?
Tupeane hata kidogo bibi, siyo mnakula peke yenu..."dili" lipi ena unaongelea? Mbona hueleweki kijana, watu wanapiga "deals" kubwa kubwa, siyo za kitoto.
Nishavuka umri wa kujiunga UVCCM bibie...Kila mmoja anakula kwa urefu wa kamba yake.
Anza kwa kujiunga na UVCCM.
Mafanikio hutafutwa hayakudondokei kama muujiza tu> Fursa zimejaa wala siyo za kutafuta.
Ninaamini kichwani uwa umejaza kamasi tupu.Kuhusu bandari wenzako washa ufyta, wewe endelea kubweka kuna siku na wewe utaufyata.
Watu jana na leo wapo Kizimkazi, wewe bado upo bandarini? Unanchekesha.
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Hii thread ingesindikizwa na japo ka picha ingependeza sanaa....Leo 30/08/2023 kuna Mbunge Mwanamke simfahamu jina lake, nilikuwa namuona kaketi nyuma wakati Nape anawasilisha kutokea kwenye "podium", amevaa "evening dress" ya kifua wazi bungeni.