Mheshimiwa Spika na Naibu Spika tazameni "Dress codes" za bungeni

Wale wenye kumbukumbu, mwaka juzi kuna mbunge alishatolewa nje bungeni kwa kutingisha makalio, jikumbusheni:





Wabunge wote, wake kwa waume, waliacha yao wakawa wanamtazama makalio.



"If such are the priests, God bless the congregation".

Bunge liwe na maadili na "dress codes" zifatwe, mbona zipo wazi kabisa? Tazameni post #14 dress codes za watumishi wa umma.

Mbunge aliyeleta taharuki kwaa kutingisha makalio bungeni alifanya mpaka "dress codes" za watumishi wa umma zikumbushe nchi nzima.
 
Yule mbon hajavaa vibaya amevaa Safi tu au wewe una perception zako hajavaa vibaya wala nini
Tazama post namba 14 uone "dress codes" za mtumishi wa umma Tanzania, hakuna cha "perception" wala ushuzi sijuwi uzushi.
 

Bora avae Night dress lakini wapitishe mambo ya maana yenye tija kwa nchi kuliko wavae mabaibui na manikabu na mabazee halafu wapitishe mikataba ya kimangungo.
 
Bora avae Night dress lakini wapitishe mambo ya maana yenye tija kwa nchi kuliko wavae mbaibui na manikabu na mabazee halafu wapitishe mikataba ya kimangungo.
Hapana, huwezi kuvaa utakavyo au upoendavyo ukiwa hata mtumishi wa umma wa kawaida tu licha ya mbunge. Katazame "dress codes" post #14.

Usifikiri hata siku moja, kwa mbunge asiyeweza kuheshimu kanuni zake na kuzifata hata za "dress codes" tu, kuwa anaweza kupitisha kitu cha maana.
 
Ukiachana na masuala ya dini na siasa, wewe ni mwanamke safi sana. Ninakupenda mno.
 
Mama upo KIZIMKAZI lakini huchoki kusakama wanawake wenzio, kula bata aisee
 
Bila picha ni majungu tuh
 
Tazama post namba 14 uone "dress codes" za mtumishi wa umma Tanzania, hakuna cha "perception" wala ushuzi sijuwi uzushi.
Ushuzi mwenyewe yule mama hajavaa vibaya labda sababu hajavaa ule mvazi uliopigwa marufuku ufaransa
 
Kule Bungeni saivi hakuna Code yoyote zaidi ya kijiwe chakupiga mhuri yanayopendekezwa na serikali.
 
Acha husda chawa ajuza
 
Hiyo nguo ina tatizo gani? au unataka ajitundike na mabaibui......itakuwa kakuchukulia mmeo.
Hata Mimi nashangaa eti kavaa vibaya kosa mabega yapo wazi anataka avae ki-ninja Bungeni
 
Cha kushangaza, Samuel Sitta enzi zake alishamtowa mbunge kwa kuvaa kofia ya mkono (baraghashia" kwa kuwa hajafata "dress codes" z bunge.

Bunge licha ya "dress codes za wafanyakazi wa umma, wana kanuni zo kabisa za mavazi ya mbunge awapo ndani na nje ya bunge.
 
Mimi huwa sipendi kuangalia Bunge Live lakini nilipomuona huyo dada la! Nilipiga kambi kwa muda na kuomba Nape asimalize haraka, hebu tuliza boli bila hivyo BL litakuwa boaring'i.
 
Hata Mimi nashangaa eti kavaa vibaya kosa mabega yapo wazi anataka avae ki-ninja Bungeni
Wewe unashangaa kwa sababu huzijuwi "dress codes" za bungeni, tena wala hujuwi "evening dress" ni nini, "casual dress ni nini" wala office dress ni nini, unajivalia tu ma kafa ulaya.

Sikushngai kabisa, ujinga ni mzigo mzito sana kwa taifa hili.
 
Hivi bado kuna watu wanafuatilia binge hilo😁😁
 
Hivi bado kuna watu wanafuatilia binge hilo😁😁
Wewe kama hufatilii usifikiri dunia imeanzia na kuishia upana na urefu wa pua yako. Kuwa na upeo japo kiduchu.
 
Wewe unashangaa kwa sababu huzijuwi "dress codes" za bungeni, tena wala hujuwi "evening dress" ni nini, "casual dress ni nini" wala office dress ni nini, unajivalia tu ma kafa ulaya.

Sikushngai kabisa, ujinga ni mzigo mzito sana kwa taifa hili.
Nenda dubai kaone watu wanavyotembea na vichupi barabarani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…