Mheshimiwa Spika na Naibu Spika tazameni "Dress codes" za bungeni

Hata Mimi nashangaa eti kavaa vibaya kosa mabega yapo wazi anataka avae ki-ninja Bungeni
Kwani kamwambia ni wa dini yake wanayovaa maturubai, hiki kibibi kimetumwa kuwatoa watu kwenye mjadala wa bandari hakuna kitu cha maana kujadili kwenye hili.
 
Nenda dubai kaone watu wanavyotembea na vichupi barabarani,
Na vichupi tu? wapo hata wanaotembea utupu kabisa, lakini umeshasema barabarani. Huu uzi hauongelei "barabarani".

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kwani kamwambia ni wa dini yake wanayovaa maturubai, hiki kibibi kimetumwa kuwatoa watu kwenye mjadala wa bandari hakuna kitu cha maana kujadili kwenye hili.
Kuhusu bandari wenzako washa ufyta, wewe endelea kubweka kuna siku na wewe utaufyata.

Watu jana na leo wapo Kizimkazi, wewe bado upo bandarini? Unanchekesha.

Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
 
Hilo sio bunge ni kikao Cha Chama, alafu unajifanya unajitoa ufahamu kujisahulisha kwamba hao wanaojiita wabunge ndio wanaongoza kudanga?
 
Bungeni

Hilo sio bunge ni kikao Cha Chama, alafu unajifanya unajitoa ufahamu kujisahulisha kwamba hao wanaojiita wabunge ndio wanaongoza kudanga?
Hilo la kudanga ni lako wewe, langu mimi ni "dress codes" za bungeni.

Upo hapo ulipo kijana?
 
Kuhusu bandari wenzako washa ufyta, wewe endelea kubweka kuna siku na wewe utaufyata.

Watu jana na leo wapo Kizimkazi, wewe bado upo bandarini? Unanchekesha.

Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Hakuna kiki inayoweza kuzima swala la bandari za Tanganyika kupewa mwarabu, endeleeni kuhadaika.
 
We mama, hujui kwamba wanaume wanapenda kuona wanawake waliovaa hivyo?
Endelea kuvaa Madera yako Kama utamuona wakukutongoza.
Kwa taarifa yako tunapenda kuona maziwa, bambataa, miguu na sio kwa umuhimu Sana, sura.
 
Hakuna kiki inayoweza kuzima swala la bandari za Tanganyika kupewa mwarabu, endeleeni kuhadaika.
Umechelewa jamvini karamau imeshaliwa?

Unamngoja mdudu aje kukusemea?
 
Tupeane hata kidogo bibi, siyo mnakula peke yenu...
Kila mmoja anakula kwa urefu wa kamba yake.

Anza kwa kujiunga na UVCCM.

Mafanikio hutafutwa hayakudondokei kama muujiza tu> Fursa zimejaa wala siyo za kutafuta.
 
Kila mmoja anakula kwa urefu wa kamba yake.

Anza kwa kujiunga na UVCCM.

Mafanikio hutafutwa hayakudondokei kama muujiza tu> Fursa zimejaa wala siyo za kutafuta.
Nishavuka umri wa kujiunga UVCCM bibie...
 
Kuhusu bandari wenzako washa ufyta, wewe endelea kubweka kuna siku na wewe utaufyata.

Watu jana na leo wapo Kizimkazi, wewe bado upo bandarini? Unanchekesha.

Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Ninaamini kichwani uwa umejaza kamasi tupu.
 
Hii thread ingesindikizwa na japo ka picha ingependeza sanaa....

Naomba kuwasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…