ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 754
- 1,478
Huyo Steve Mengele (Familia ya Baba wa Taifa ilimwambia atumie jina ka ukoo wake), anaheshimiwa na nani hadi kuanza kuitwa Mheshimiwa?Mkuu wa itifaki na Mwenyekiti Mwanzilishi wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Dr Steve Nyenyere amejitolea kumlipia dhamana mlimbwende wa Bongo movie Nicole van Berry