chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Mbona kakaake makongoro nyerere pia mchekeshaji.Huo udaktari kautoa wapi!?? Kwanza anaitwa Steven Mengere sio Steven Nyerere 😔 Baba wa Taifa hana DNA ya kipuuzi namna hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kakaake makongoro nyerere pia mchekeshaji.Huo udaktari kautoa wapi!?? Kwanza anaitwa Steven Mengere sio Steven Nyerere 😔 Baba wa Taifa hana DNA ya kipuuzi namna hii
Ni kweli Mkuu ila sijawahi kuona Makongoro au damu ya Baba wa Taifa inakwenda kugombania rambirambi katika misibaMbona kakaake makongoro nyerere pia mchekeshaji.
duh!Ni bongo muvi mmoja, babe mama wa Steve Nyerere na yeye big big heavy heavy kama Nikole.
Alikua na lingine kuzidi nicole, unampata Wellu sengo??Ataliweza lile mbona kama kubwa sana kwake!
ndo naambiwa ambiwa tu kumbe mzoefu!..😅Alikua na lingine kuzidi nicole, unampata Wellu sengo??
Huyo mpuuzi ni kuwadi maarufu anawatongozea vigogo wengi wa CCM na serikali mademu wa Bongo movie.Huyo Steve Mengele (Familia ya Baba wa Taifa ilimwambia atumie jina ka ukoo wake), anaheshimiwa na nani hadi kuanza kuitwa Mheshimiwa?
Mkuu huyo kuipua matandam ndio zake, kaangalie mama watoto wake Wellu Sengo jinsi alivyo lipampula 😂Ataliweza lile mbona kama kubwa sana kwake!