Mhhhhh...Simba SC yangu 'Nakupenda' sana tu ila hili la Uwanja wetu 'Mchakato' ni wa mapema na wa 'Kimhemuko' zaidi

Mhhhhh...Simba SC yangu 'Nakupenda' sana tu ila hili la Uwanja wetu 'Mchakato' ni wa mapema na wa 'Kimhemuko' zaidi

Nje ya mada kidogo mkuu, inaonekana unaongoza kwa kupewa ban hapa JF zile za muda mfupi.
ingekuwa ni ugonjwa basi tungekuita "Homa za Vipindi"
Je, una uhakika hauna Celebrial Malaria?
 
Mkuu, Makolos wanafanya hili kwa temper ety TFF wanatunyanyasa na wamedhalilisha viongozi wetu..
Uwanja,, ety uwanja.. ujengee kwa michango ya bukubuku hvyo
 
Mim kama UWABATA. nmeshachangia 300 yangu chaaap.......au

Nmezngua wadau....[emoji16][emoji16][emoji16]
FB_IMG_16398053372744556.jpg
 
Kwa Bongo klabu kujenga uwanja wake mkubwa ni matumizi mabaya ya pesa. Bongo hatupendi sana mpira ila tunazipenda simba na yanga kwenye matukio makubwa. Hatujai viwanjani kama sio tukio kubwa , sasa hizo bilioni zitarudije? Hata kama ni za kuchangishana zinatakiwa zirudi.

Bora kujenga training centre ya kisasa kwa bajeti ya kawaida.
 
Kaka Kama unaweza kuchangia we change tu.
Uwanja utakuwa ni WA Simba vizazi na vizazi Mambo ya pesa kurudi zinatakiwa sijui zirudi ni mawazo mgando.
 
Back
Top Bottom