Mhimili mpya kusimamia serikali wazaliwa?

Mhimili mpya kusimamia serikali wazaliwa?

Binadamu hatujawahi kueleweka hata siku moja . Magufuli alinyooshewa vidole sana kwa madai ya kuibana hyo mihili isyo rasimi. Sasa sijajua kam watanzania tunataka nini tena?🤔
usifikiri tunasema uwe mhimili rasmi, no, hiyo haitakuja kutokea, ila tunaonyesha kundi lipi la watu wamesaidia kuifanya serikali kuwa accountable na kujirekebisha. ndicho tunachoongelea. wewe ndio hujui unachokitaka wala usichokitaka.
 
wanaharakati wanafanya mabadiliko na kuipush serikali iwe accountable kuliko hata wabunge. yaani kwa sasaivi kundi la wanaharakati hata 50 hawafiki, waliojitoa, wanafanya kazi kubwa kuliko bunge lote linalokula hadi posho. na serikali inawaogopa wao kuliko hata bunge. waandishi wa habari waoga na wamiliki wao wa vyombo wanacontrol hivyo sio wa kuwategemea.
Hayo yote kasababisha ROSTAM AZIZI NA GENGE LAKE ...BWANA REGARD MENGI ALIPO LALAMIKA KUHUSU ROSTAM AZIZI MIAKA ILE YA KUANZA VITARU VYA GESI WENGI WALISHINDWA KUELEWA NINI MAANA YAKE .
 
imagine hata mwijaku na masanja nao ni journalists. ndio uwe mhimili usio rasmi?
 
usifikiri tunasema uwe mhimili rasmi, no, hiyo haitakuja kutokea, ila tunaonyesha kundi lipi la watu wamesaidia kuifanya serikali kuwa accountable na kujirekebisha. ndicho tunachoongelea. wewe ndio hujui unachokitaka wala usichokitaka.
Sasa,hayo makundi mawili yamefanya kitu gani katika nchi na serikali ikawajibika?
 
Mihimili mitatu ya bunge, serikali na mahakama ni Mihimili tegemezi na shuguli zake hutogemea hivyo vitoto ulivyovitaja kwa kusudio la kupiga hatua na kufanya kazi kwa kufikia malengo
 
Back
Top Bottom