Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
- Thread starter
- #21
usifikiri tunasema uwe mhimili rasmi, no, hiyo haitakuja kutokea, ila tunaonyesha kundi lipi la watu wamesaidia kuifanya serikali kuwa accountable na kujirekebisha. ndicho tunachoongelea. wewe ndio hujui unachokitaka wala usichokitaka.Binadamu hatujawahi kueleweka hata siku moja . Magufuli alinyooshewa vidole sana kwa madai ya kuibana hyo mihili isyo rasimi. Sasa sijajua kam watanzania tunataka nini tena?🤔